Yanayotokea Ngole kwa amri ya RC Mbeya

Yanayotokea Ngole kwa amri ya RC Mbeya

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Jeshi la polisi limefika Ngole kutekeleza amri ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Tayari kijiji kimezingirwa na kila kona kuna polisi wanakamata watu ovyo ovyo ,huku wananchi wakikimbia kijiji hicho na baadhi wakijihami dhidi ya polisi

Moja ya mwananchi kutoka kijijini hapo amesema kuna mapambano yanaendelea kati ya polisi na wananchi na kuna hatari kukalipuka vita kati ya wananchi na polisi

Updates................

Mpaka muda huu robo tatu ya kijiji wapo porini

Wananchi wa Ngole wameonekana wakiwabeba wazee na watoto wakielekea porini
 
Ikitokea mwananchi akauawa hata mmoja RC awekwe chipa.
 

Nawaza kwa sauti,siku mradi ukiharibiwa mtaa wa Magogoni pale nini kitatokea.​
 
Aisee hao Askari wapo mia ngapi hadi watoshe kuzingira Kijiji!
Haki ya Mungu mwafrika hata nyani ana nafuu. Tuliwafukuza wakoloni hatukujua wana utu kuliko sisi. Ulevi wa madaraka ni kitu kibaya sana. Ila sisi wananchi ndiyo kosa letu. Ikitolewa amri ya kijinga kama hii badala nchi nzima tunge-react na kulaani kwa nguvu zote sisi tunachukulia kama sinema ya kufurahisha.
 
Aisee hao Askari wapo mia ngapi hadi watoshe kuzingira Kijiji!
Hivi unajua kijijini askari akienda hata kama hana silaha wananchi wanahaha? Na kwa kuwa ni kijijini hata wakienda 100 tuu wanatosha
 
Ikitokea mwananchi akauawa hata mmoja RC awekwe chipa.
Kwa mbeya ninavyowajua matukio hayataisha wale jamaa hawatakubali kushindwa utaanza kusikia askari apigwa na kitu chenye ncha kali akutwa kafa na baadhi ya nyumba za serikal kuchomwa moto na watu wasiojulikana
 
Haki ya Mungu mwafrika hata nyani ana nafuu. Tuliwafukuza wakoloni hatukujua wana utu kuliko sisi. Ulevi wa madaraka ni kitu kibaya sana. Ila sisi wananchi ndiyo kosa letu. Ikitolewa amri ya kijinga kama hii badala nchi nzima tunge-react na kulaani kwa nguvu zote sisi tunachukulia kama sinema ya kufurahisha.
ujinga hautamwacha Mtz salama
woga pia unachangia ktk hili mkuu
 
Kijijini changu ili ukizinguke lazima uwe na askari 700.

Hao Askari wamezunguka mtaa mnajua kijiji kweli?
Hata kama ni mtaa mkubwa ile hofu tuu ya wananchi hukimbia hovyo hadi unakuta kijiji chote cheupe
 
polisi mko wachache sana, sijui kama mnalijua hilo maana mkitoka kazini kuna kurudi makwenu tena wengine kitaa tu huku
 
Back
Top Bottom