Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,483
Nawauliza watanzania waliosoma au kufanya kazi au kuishi nje ya Tanzania.
Mnapata wapi courage ya kurudi na kuishi kwenye nchi yenye shida kama hii?
Ni uzalendo? Umeshindwa kupambana huko? Umepamiss sana home? Huwezi kukaa mbali na ndugu zako? Umeona fursa Tanzania? Au sababu ni nini?
Sioni mantiki umeishi US au Europe kwa miaka 10 umefanya shughuli zako zinakuingizia vizuri halafu baada ya kipindi unarudi kuishi Tanzania.
Inawezekana vipi?