Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
3 Replies
617 Views
katika sikukuu ya Eid ul-Adha ,familia nyingi hutoa mbuzi au kondoo kwa ajili ya marafiki na wahitaji Waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr. Hii ni moja...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilijionea Jana tukio LA Uganda Polisi walivyo tawanywa wakati wanamshambulia mwendesha Pikipiki bila sababu. Kumbe nguvu ya umma dhidi ya uonevu yaweza kufuta Tania hiyo. Hivi ndivyo inavyotakiwa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia miongoni mwao tisa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa katika kichaka eneo la Himo wakisubiri gari kwa ajili ya kuwavusha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!! Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia.... Wadau!! Kutokana na Maoni na...
35 Reactions
330 Replies
33K Views
Dar es Salaam. Serikali imetoa tahadhari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini baada ya watu 91 kuugua DRC Congo na wengine 50 kufariki dunia. Idadi hiyo imeongezeka kutoka wagonjwa 26 katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sina nia ya kuleta ukabila au kuchukia kabila la mtu fulani. Lakini napenda tupate ufafanuzi wa Tangazo hili japo linaonekana ni la muda kidogo ila ni vizuri tukapata kujua nini kilitokea na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Hivi ukitaka kupata uhakika usio na shaka kwamba mbegu aliyobeba mwanamke mjauzito ni yako unafanyaje? Kusubiri mpaka mtoto amezaliwa kufanya DNA inaweza kuwa umechelewa sana kwa sababu kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imesema kuanzia Januari mwakani itaanza kudai fedha za mikopo kwa kupita nyumba kwa nyumba, hasa muda wa usiku. Mbali na hilo, HESLB wamesema...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Zamani kidogo ilikuwa ni ujanja sana kwa vijana kutumia mtandao wa Voda,ata kwenye maongezi ilikuwa unaonekana wa ajabu kama utasema ulishawahi kutumia mtandao tofauti na huo. Hakuna aliyekuwa...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mohamed Chumvi Hifadhi ya Emboley Murtangos Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, iliibua mgogoro makubwa kati ya wakulima na wafugaji. Madhara yaliyojitokeza ni pamoja watu kupoteza maisha na wengine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi karibuni kuliibuka swala la madini ya zebaki kuonekana kwenye sukari nchini Kenya hii ilikuwa ni mbaya sana, sasa niiombe serikali ifanye ukaguzi wa ghafla kwenye maduka madogo madogo ya...
1 Reactions
1 Replies
738 Views
Basi la kampuni ya KIDIA ONE limeteketea kwa moto maeneo ya Maluga kona mkoani Singida.. Abiria wote wako salama Hakuna abiria alyejeruhiwa. Chanzo cha moto ni tairi ya nyuma kupasuka na...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
.. Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa. Nazo ni: 1) Sare ya shule 2) Joho la Graduation 3) Gauni la Harusi 4) Maternity Dress (Nguo ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ukitaka kupata uhakika usio na shaka kwamba mbegu aliyobeba mwanamke mjauzito ni yako unafanyaje? Kusubiri mpaka mtoto amezaliwa kufanya DNA inaweza kuwa umechelewa sana kwa sababu kama...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini wadau. Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana. Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine. Yaani hawa watu...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia , Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…