moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
..
Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa.
Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)
Hata hivyo, Mueleze Kuwa Kama Akiruka Ya Kwanza Hatapata Nafasi Ya Kuvaa Ya Pili.
Mueleze Kuwa Asikimbilie Kuvaa Ya Nne Eti Kwa Sababu Mtu Amemuahidi Ya Tatu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app