Singida: Basi la Kampuni ya KIDIA ONE lateketea kwa moto

Singida: Basi la Kampuni ya KIDIA ONE lateketea kwa moto

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,277
Basi la kampuni ya KIDIA ONE limeteketea kwa moto maeneo ya Maluga kona mkoani Singida..

Abiria wote wako salama Hakuna abiria alyejeruhiwa.

Chanzo cha moto ni tairi ya nyuma kupasuka na kushika moto, hivyo juhudi za abiria na wananchi za kuzima moto huo zilishindikana baada ya moto huo kuwazidi kasi kutokana na upepo
IMG_20180821_142527_379.jpg

IMG_20180821_162339.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..naona kama moto ulianzia kwny tairi


Halaf singida kulivyokuwa na shida ya maji sijui hata mnazimia nn moto hapo
 
Back
Top Bottom