Nawasalim wanaJF wenzangu
Kuhusu mada ya hapo juu naomba kuelimishwa kama kuna ulazima gani wa kutunga sheria ili kila mtu awe na line moja tu ya simu. Jambo ambalo linaweza kuishia kushuka kwa...
habari wandugu,ukichunguza bahari tunayo kuanzia eneo la (tanga mpaka mtwara)
ukiwa ferr dar es salaam ukiangalia upande wa baharini utaona visiwa kama vitatu hivi kule hatuwezi jenga hata...
Msaada wadau, nafahami ipo Mikocheni ila nikitaka kwenda escape one natakiwa nishuke kituo kipi? Je kutoka kituoni mpaka eneo husika kuna umbali gani? Asanteni
Wakuu hii inasikitisha:
Utingo ajeruhiwa, magari saba yakiteketea Rusumo
Hivi bei za matochi milioni kidogo tuliyo wekeza sehemu mbalimbali mabarabarani ni sh ngapi?
Hivi madege tunayonunua ni...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wajiondoe katika kufanya biashara na halmashauri hiyo kwa kuwa wanakiuka maadili ya utumishi wa umma.
Ametoa...
Wanabodi
ITV Breaking News, imetangaza ajali mbaya ya lori la mafuta mpaka wa Rusomo, ambapo lori hilo limegonga gari nyingine na kulipuka, hivyo kulipua magari mengine na hivi sasa yanateketea...
Salaam nyote!
Naomba kushiriki nanyi baadhi ya mambo kadhaa ambayo kwa siku za hivi karibu yalipata kutokea katika mzunguko wa Maisha yangu japo nimebaki kutafakari pasipo kupata tafsiri sahihi...
.
-Kamishna mpya wa wilaya ya Arumeru Jeru Muro alitangaza kuharamishwa kwa karoti kutoka Kenya
- Sasa mkuu huyo amekamata malori 10 kutoka Kenya baada ya kuyashuku kuwa na bidhaa za magendo
-...
Habarini wadau!
Natumai mu wazima na afya na mnaendelea na shughuli za kujiongezea kipato.
Kuna jambo limekuwa likiendelea nchini kwetu, na sasa limeshamiri na kuonekana ni jambo la kawaida sana...
Mtu mlisoma nae msingi/sekondari alikuwa smart balaa au beauty kweli mkamaliza msingi/ sekondari mkaachana kwa kusambaratishwa mashule kila mtu amepigika kivyake ili apate elimu itayomkomboa...
Hapa kwenye nyumba nilipopanga tupo wapangaji wawili kama kila mtu upande wake .
Miezi miwili iliyopita nilikua likizo kwa hiyo mara kwa mara nilikua nawahi kurudi nyumbani.
Daah mara nyingi...
hello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa...
Historical injustices!!
Kisili Mutua, who was convicted of Pio Gama Pinto's muder before being released later, with former Chief Justice Willy Mutunga at a past function in Nairobi.
A handcart...
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka...
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri...
Akhbary za SAA hizi wakuu
Wakuu mwenye uzoefu na kilimo cha mahindi ya bisi na soko lake anijuze mana kilo moja dukani imefka elf 3 now inaelekea in kilimo kinacholipa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.