Chahali unaturudisha nyuma, unataka nini

Chahali unaturudisha nyuma, unataka nini

TISS gani anaongea kama Mwanamke wa Kizaramo.

TISS hata kama hauko chamani hauwezi kuwa kama Chahali.

Mawazo yangu huwa yanakataa kuwa ni kweli Chahali ana Mgogoro na wenzake huwenda kuna mtu anatafutwa huko huko jikoni ila inatumika njia hiyo kumdaka au kuondoa majani ambayo yatakuwa kama Chahali.
Ni ngumu kumuelewa, sijui anataka nini, kama ana tofaut na wenzake si akae kimya tu
 
Kuna wakati mtu anapokuwa Ana msongo wa mawazo sana sasa anapotaka kujipa tumaini Jipya na Katika kulitafuta unakuta anafanya jambo ili walau nae aonekane anakubalika Katika jamii; na kuishia kufanya mambo ya aibu kama huyu ndugu yetu. Anahitaji msaada wa kisaikolojia.
 
Ninyi ndiyo wagumu kuelewa,mlishawahi kujiuliza hata vikosi vya waasi wa Kongo na vikindi vingine vya wapiganaji nchini Rwanda,Burundi na Uganda huwa vinatoa wapi silaha?
Je,mnakumbuka kpndi fulani kuna kifaru cha jeshi kilipotea na baadae kikaokotwa mahali? ( mnakumbuka aliyetoa taarifa za kupotea kwa kifaru hicho alivyoshughulikiwa?)
Tanzania hijawahi kuingia kwenye vita tangu mwaka 1978,na kila mwaka huwa kuna budget ya kununulia vifaa je, hivi vifaa vita ambavyo huwa havijatumika mpaka mwaka wa fedha unaisha huwa vinapelekwa wapi?
Najua kuna watu humu mtasema "huwa vinateketezwa,huwa vinatumika kwenye mazoezi" lkn wengi hamuelewi ukweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati mtu anapokuwa Ana msongo wa mawazo sana sasa anapotaka kujipa tumaini Jipya na Katika kulitafuta unakuta anafanya jambo ili walau nae aonekane anakubalika Katika jamii; na kuishia kufanya mambo ya aibu kama huyu ndugu yetu. Anahitaji msaada wa kisaikolojia.
Kama huelewi kaaa kimya,
Mabomu ya Gongolamboto na Mbagala yalikuwa ni matukio yaliyopwangwa kutokea...Chahali yupo sahihi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chahali uko nje ya TZ unaogopa nini?? , kama vigogo waliamua kuondoa siraha za kizamani kwenye maghala kwa kuziuza kwenye black market (badala ya kuziharibu) na kuamua kufanya cover-up kwa zile ajari si uwataje??? au tukuamini tu kwakua ulikua TISS??
 
Huyu mtu kumuelewa inahitaji akili ya juu sana kuhusu nchi yetu.

Mkuu,najua wewe ni miongoni mwa members wa kitengo,jitahidi umsome vzr Chahali yupo sahihi kabisa
Mabomu ya Mbagala na Gongolamboto ni yalikuwa na siri nyuma ya pazia na ilivuja baada ya muda mfupi sana tangu kutokea kwa matukio yale!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom