Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipofika dar kwa Mara ya kwanza nilishangaa kuona watu wakitembea haraka haraka kama wamekanyaga kaa La moto tofauti na mikoa niliyoishi,si mtoto wala si mtu mzima wote hali moja, Yaani kifupi...
8 Reactions
67 Replies
10K Views
Salaaam/Shalom Natumai mmeamka salama na mnaendelea vyema kabisa wakuu. Well, Kama mada inavyojieleza hapo juu ni katika kuelimishana na kuwekana sawa kuhusu masaa baina ya nchi na nchi. Hili...
2 Reactions
106 Replies
18K Views
Hebu tujuzane kwa sasa Makandarasi wetu wa hapa Dar es salaam katika miradi mingi hususan ya Bara Bara imekua ikitekelezwa kwa spidi ndogo mno, tofauti na wale wa mikoani sijui hili linatokana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moshi. Watu watano waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua kwa makusudi mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya, wamewasilisha notisi ya kukata rufaa Mahakama ya Rufani...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Wadau kwema? Naombeni msaada wenu, kuna Rafiki yangu anataka kununua Gari lakini muuzaji alilingiza nchini kwa Exemption. Muuzaji anasema kua kadiri gari inavyozidi kutumika hapa nchini basi...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
alipoletwa mshambuliaji aubrey chirwa kuja kuichezea yanga alicheza mechi kadhaa pasipo mfanikio. wazee waliitwa waangalie jinsi gani wanaweza boresha kiwango cha mchezaji huyo. mzee akilimali...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Kwanini dagaa wa Kigoma wapo safi hawana mchanga? TFDA taasisi Ya ubora wa dawa na Chakula mnatuangusha,kwanini wawepo dagaa wenye mchanga na wasio na mchanga. Mh.Waziri Mpina wewe ni hodari na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dini zetu zote zinatabanahisha, kupitia maandiko matakatifu, kuwa yako maisha baada ya haya ambayo tutayahitimisha kwa njia ya kifo. Infact, kwa mujibu wa maandiko ni kwamba maisha yajayo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
SISI WANAUME WA DAR! Said Ally Mrisho amechomwa visu akiwa katikati ya madereva pikipiki zaidi ya 20, wauza kuku zaidi ya 20, wateja wa kuku na waenda kwa miguu zaidi ya 50, wauza maduka zaidi ya...
17 Reactions
221 Replies
19K Views
POLISI TANZANIA HAIMO KWENYE ORODHA YA MAJESHI YA POLISI 10 DUNIANI YANAYONUKA RUSHWA. 10 Most Corrupt Police Forces in The World 10. Pakistan Police Pakistan’s police has been ranked among...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
“PORNEA” SABABU YA KUMWACHIA MKE Tunaendelea. Acha tung’oe nanga tena. Vijana, kati ya maswali yenu mliyoniomba niwafafanulie ni sababu ya kumwacha mke iliyotajwa katika Mt 19:9. Mliniandikia na...
16 Reactions
67 Replies
9K Views
mnakera na mseji zenu nyingi zakulaghai huku ulijilimbikizia mabilioni ya faida...mnachukua pato lisilo la haki Vodacom Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hahahaha,daah,. Wakuu haya si maneno yangu,ni maneno ya fundi wangu.hahaha, Niliwakuta mafund wangu jana wanapiga stor.dah kwel watu wanalalamika jamen,huu uchum.sasa m1 akawa anasema yaan ngoz...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Old Tanga, Shufaa Mbughuni amekutwa amefariki dunia huku uso wake ukiwa umechubuliwa ngozi. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, Edward Bukombe...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Zaidi ya wakazi 300 katika kitongoji cha kambi ya fisi kilichopo katika kijiji cha Manyara wilayani Babati mkoani Manyara wameilalamikia kamati ya Mazingira ya kijiji hicho kwa kushirikiana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salute Comrade.. Huyu jamaa anaitwa Niccolo Paganini anatokea nchini Italy katika mji wa Genoa, kazaliwa tarehe 27 mwezi wa kumi mwaka 1782 na kufariki tarehe 27 mwezi wa 5 mwaka 1840 mtoto wa...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Rotary Dar Marathon, Catherinerose Barretto akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kutangaza maandalizi ya mbio na matembezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Igunga, TABORA. Jeshi la polisi wilayani Igunga limemtia mbaroni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Ndugu Peter Onesmo, kwa amriwa ya Waziri Mkuu Mh. Kasimu Majaliwa, wakati wa ziara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BASI LAWAKA MOTO: Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeshika moto na kuteketea katika eneo la Kijiji cha Kazuramimba...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuzua mambo kumekuwa tabia sugu na ya kale kwetu sisi binadamu,kuzua kunapelekea kusingiziana na matokeo yake huzaa chuki na maangamivu. Kusingiziwa au kusingiziana hakuishii tu kwetu sisi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom