Kutoka eneo la Kasulu Mjini karibu na ghorofa ya hotel ya high way, maeneno ya bar maarufu kama kwa Rose matako ,moto mkubwa unawaka….
Msaada kuweza kupata huduma ya zima moto
Sent using Jamii...
Maudhi mengi mara bando kiduchu,mara vile, mpaka unahama mtandao sababu ya maudhi, tukigoma je.
Just thinking out loud
Yout thoughts pls. Kwani nani kashika kwenye makali ?
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amewaagiza viongozi wa mitaa kuandaa daftari litakalosaidia kuwatambua wageni wanaoingia na kutoka...
Habari toka Mkoani Tanga kama zilivyotelewa na katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Tanga, zinapasha kuwa mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Tanga School ameuawa kikatili...
Shirika la afya duniani(WHO) linasema kwamba kuna ongezeko kubwa la kesi za ugonjwa wa surua zipo barani ulaya.
Zaidi yarobai na moja wameambukizwa katika miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2018...
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti, na wa mataifa BWANA aliyowaambia wana...
Habari za usiku wakuu
Nimekua nikiona kwenye filamu mbalimbali na makala za wanajeshi hasa vitani huwa wanakula vitu flani vipo kama biskuti flani hivi,kwa imani yangu nahisi huwa wanashiba sana...
Habari wa kuu?hua najiuliza huu mwili una nini?na Kwa nini inatokea bira ya kujitaalisha?iweje ata ukimuangali mtu kwa jicho flani hivi hua anashikwa na woga,au kuogopa kabisa?iweje ujue kuna kitu...
Hapa jiji la Dodoma maliasili wameleta sheria mpya ya kunyang'anya milango kwenye maduka ambayo ipo tayari kwa kuuzwa kwa kuwadai leseni ya mbao.
Sasa hatuelewi ni nini baada ya milango...
Mkutano mkuu wa 42 wa Kanisa la Baptist Tanzania Baptist Convention of Tanzania umemalizika salama jijini Dodoma.
Mch Arnold Manase - Amechaguliwa kuliongoza kanisa hilo kwa muhula mwingine...
Nashindwa kupata taswira kamili ya uchaguzi wa 2020 kwa kutumia katiba hii tuliyo nayo sasa. Iwapo tutaingia katika uchaguzi wa 2020 kwa katiba ya sasa, maana yake ni nini? Najaribu kueleza...
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan Akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Msaada wa Magoro 80 .Akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ameushukuru Uongozi...
Huyu kamanda Muroto ana maneno kweli msikilize:
MTU MNENE AFYA NZURI LAKINI MHALIFU, USISHIKISHE TUMBO KWA KUIBA, KAZI ZA UJANJA UJANJA HAKUNA, WACHA KURUDISHA TUMBO TUSIONE KUWA HUNA TUMBO FANYA...
Nina hasira sana....sitosalimia maana naweza anza na tusi bure.
Kuna traffic officer hapa maeneo ya tabata reli kwenye njia panda ya kuingia tabata na barabara ya buguruni akili zake za kuazima...
Wana JF,
Kuna Facebook page ya NatGeo Wild Live, Mara nyingi wanarusha "live" mihangaiko ya simba au chui wakiwinda toka Krugger Game Reserve- Sabi, huko Africa Kusini.
Nikihesabu viewers wa...
HALIMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI.
MAPUNGUFU IDARA YA ELIMU MBARALI.
Nakumbuka mapema mwaka huu 2018 mkuu wetu wa mkoa kwa nia njema alisisitiza ushirikiano baina ya watumishi ili kuleta...
Zipo nadharia nyingi za Visababishi vya waafrika kubaguliwa. Zipo za kiuchumi, rangi ya ngozi na nywele, Maeneo tunayotokea na hata Dini.
Katika yote ubaguzi halisi unafafanuliwa na neno...
TLS inaendesha mafunzo ya siku tano yaliyoanza leo tarehe 20/8/2018 na yanayotarajiwa kumalizika tarehe 24/8/2018. Mafunzo hayo yameandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS), kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.