Naomba sababu tatu kwanini mtu amiliki laini za simu zaidi ya moja!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,693
2,000
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka kupunguza huu upuuzi. Wewe je una sababu gani za kumiliki laini zaidi ya moja?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,474

Mtu hata akimilik line mia kuna shida gani na ni hela yake? Mbona watu wanamiliki zaidi ya nyumba moja, gari zaidi ya moja, shamba zaidi ya moja na hata mke zaidi ya mmoja, shid iko wapi?
 
narumuk

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
1,945
2,000
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka kupunguza huu upuuzi. Wewe je una sababu gani za kumiliki laini zaidi ya moja?
Michepuko
Gharama za mitandao tofauti
Mikopo
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,926
2,000
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka kupunguza huu upuuzi. Wewe je una sababu gani za kumiliki laini zaidi ya moja?
Watu ambao bado mnakula kwenu mna shida sana..
Kwahio mwanaume mzima huwezi kujua line nne ni za kazi gani??

Kwangu mimi
1.line ya voda -hii ni official namba huwa inapatikana muda wote kwa ajili ya mambo yote binafsi na mawasiliano na ndugu wa karibu

2. TTCL kwa ajili ya data maana walikuwa na bundle kubwa na speed ya internet iko vizuri kwa maeneo niliyopo.

3. Tigo kwa matumizi ya kawaida na marafiki hii ndio namba ninayoweza kumpa mtu yeyote.
Ikiita hata sishtuki sana maana najua hakuna deal la maana litatoka kwenye hii line
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,007
2,000
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka kupunguza huu upuuzi. Wewe je una sababu gani za kumiliki laini zaidi ya moja?
internet nzuri natumia halotel
vifurush vya sekunde na sms natumia tgo
kutuma na kupokea pesa kwenye shughuli zangu natumia airtel
kama nmesajili line zangu kuna shida gan?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom