Kumkamata mtu aliyeachiwa huru mahakamani!

mtundu27

Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
78
Reaction score
123
Habarini wadau!
Natumai mu wazima na afya na mnaendelea na shughuli za kujiongezea kipato.
Kuna jambo limekuwa likiendelea nchini kwetu, na sasa limeshamiri na kuonekana ni jambo la kawaida sana.
Hivi inakuwaje mtu ameachiwa huru na mahakama then hapo hapo askari wanamkamata tena kwa kosa lile lile pale mahakamani?
Nina amini jamii forum kuna wadau mahiri wa masuala ya kisheria, ningeomba tujadiliane ili tuelimishane.
Maana kesi huwa inaamuliwa kwa kuwa na ushahidi pasipo shaka, sasa inakuwaje ushahidi haujatosheleza, hakimu kamwachia mtu huru, then hapo hapo mtu anakamatwa.
Karibu tujadiliane.
 
Ngoja niwahi siti ya mbele tuwasubiri wanasheria watuelimishe.

Mbaya zaidi ile mission utafikiri inakuwa imesukwa kati ya hakimu na mapolisi...utakuta siku ya hukumu polisi wanajiandaa kwa idada na vitendea kazi,!!!
Ni kama wanakuwa wameshajua Leo mtuhumiwa ataachiwa huru.
 
Inatokea unapokuwa umeshatikiwa kwa makosa zaid moja ambapo unaposhinda moja hakimu naposema upo huru ni kweli na unapaswa Toka mbio za Hatare manake ukikamatwa mashatka yanaendelea na ukifanikiwa unafutiwa yote
 
Hata mimi hili linanishangaza sana, yaani mtu kaachiwa harafu police wanamkamata ina maana ana kesi nyingine au wamepata ushahidi?!!
 
Habarini wadau!
Natumai mu wazima na afya na mnaendelea na shughuli za kujiongezea kipato.
Kuna jambo limekuwa likiendelea nchini kwetu, na sasa limeshamiri na kuonekana ni jambo la kawaida sana.
Hivi inakuwaje mtu ameachiwa huru na mahakama then hapo hapo askari wanamkamata tena kwa kosa lile lile pale mahakamani?
Nina amini jamii forum kuna wadau mahiri wa masuala ya kisheria, ningeomba tujadiliane ili tuelimishane.
Maana kesi huwa inaamuliwa kwa kuwa na ushahidi pasipo shaka, sasa inakuwaje ushahidi haujatosheleza, hakimu kamwachia mtu huru, then hapo hapo mtu anakamatwa.
Karibu tujadiliane.
Kwa uelewa wangu mim ni kua mshtakiwa anakamatwa tena na police kwa sababu mh.Hakim anakua amemwachia huru mshtakiwa kwa kifungu kidogo cha 225 na Mara nying mh. Hakim anafanya hvyo kwa sababu anaona upande wa mashtaka awajajpanga au wanalegalega so anaamua kumkomoa muendesha mashtka na ndo maana muendesha mashtaka anamuamuru police amkamate mshatakiwa ili kesi ianze upya kusiwe na ubabaisha ajpange vzur tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni upumbavu wa hali ya juu. Umeshindwa kuonyesha ushahidi alafu unanikomoa kuniweka gerezani, africa ndio maana tunaitwa shithole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAma mtu mgeni waeza zani bongo muvi. mana utaona mtu chini ya mguu ya watu anavyokimbia kama kibaka
 
Lakini hata kama atawakimbia maaskari hapo mahakamani baadae si atakuja kukamatwa tu huko anakokimbilia? Na anapowakimbia baadae iwe ni siku hiyo hiyo, kesho yake au siku yoyote akikamatwa hatafunguliwa mashitaka mengine ya kuwakimbia polisi?
 
Hii nchi ni ya kipumbavu sana? Unanikamataje kwa mashtaka yale yale, umeshindwa kesi, nenda mahakama ya juu kafungua appeal na tukutane huko. Mitanzania mibogu inatia hasira sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alishakatazwa kufanya hivyo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Joseph Sinde Warioba, akakubali.

Leo AG anaweza kumsimamia jiwe hivyo?
 
Ngoja niwahi siti ya mbele tuwasubiri wanasheria watuelimishe.

Mbaya zaidi ile mission utafikiri inakuwa imesukwa kati ya hakimu na mapolisi...utakuta siku ya hukumu polisi wanajiandaa kwa idada na vitendea kazi,!!!
Ni kama wanakuwa wameshajua Leo mtuhumiwa ataachiwa huru.
Siku ya hukumu inajulikana ndio maana askari wanajiandaa. Ila kwa mtazamo wangu ni kutokutii mahakama, kama jeshi linafikiri mshtakiwa ameshinda kwa hongo, watafute ushahidi wa hongo na kukata rufaa juu ya hukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwahi siti ya mbele tuwasubiri wanasheria watuelimishe.

Mbaya zaidi ile mission utafikiri inakuwa imesukwa kati ya hakimu na mapolisi...utakuta siku ya hukumu polisi wanajiandaa kwa idada na vitendea kazi,!!!
Ni kama wanakuwa wameshajua Leo mtuhumiwa ataachiwa huru.
Muendesha mashtaka anampa taarfa polisi pale mh.Hakim anapomwachia mtuhumiwa kwa kuwa kila chumba cha mh.Hakim polisi wanatakiwa wawepo kesi zikiwa znaendelea kwahyo inakuwa rahisi kwa polisi kumkamata tena mshtakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jubu langu linakaribiana sana na mchangiaji mmoja hapo juu ila naongeza nyama kidgo tu ,issue ipo hvi kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai (CPA) kesi nyingi za jinai zimepewa kikomo cha upelelezi ambao ni siku60,kwhyo upande wa Jamhuri unatabia sugu ya kudai upelelezi haujakamilika mtu ana kaa ndani miezi kibao wao kila siku wanasema upelelezi bdo haujakamilika kwhyo inafika mahali hakimu anachoka na hizi danadana anaamua kumwachia yule mtu kutumia mamlaka aliyopewa aliyopewa kisheria kwa kupitia kifungo no225 (CPA).anamwachia kwhyo kifungu hiki hiki pia kina waruhusu police kumkamata tena mtu huyu ila nje ya chumba cha mahakama na kumrudisha tena mahakamani kwa kosa lile lile ila wawe na uhakika kuwa wana ushahidi wa kutosha na watakapomrudisha mahakamani upelezi wake uwe umekamilika ,sasa tatizo la police wetu wa bongo wame kariri kila anaechiwa kwa kifungu hiki lazima wamkamate hata kma hawana ushahidi hata kma hawajaagizwa na mwendesha mashitaka ilimradi tu wamkamate na wanapomkamata kuna mambo2 , kma kesi yake ilikuwa muhimu basi watamrudisha tena mahakamani ila kma ni nyepesi wanampeleka kituoni wanampa dhamana basi wanamalizana juuu kwa juu ,ila ki ukweri hakimu anakuwa hajui lolote kuhusu mission ya huyu mtu kukamatwa na wala hawapendi kusikia mtu aliemuachia kakamatwa tena kwa kosa lilele ila hawana cha kufanya pale mara nyingi anaesuka mission ni mwendesha mashitaka coz hakimu kabla ya kumwachia mtu kwa 225 huwa anatoa warning kwanza anawambia jamhuri musipokamilisha upelelezi next date mm huyu mtu namwachia sasa pale state attorney ndio anakuwa aware kuwa huyu mtu next date wenda akaachiwa ndio anawaandaa police ,ila hii sheria mm naiyona ni ya kipuuzi sana na kumkamata mtu alieachiwa na mahakama kma dharau kwa mahakama na police wanaitumia vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatokea unapokuwa umeshatikiwa kwa makosa zaid moja ambapo unaposhinda moja hakimu naposema upo huru ni kweli na unapaswa Toka mbio za Hatare manake ukikamatwa mashatka yanaendelea na ukifanikiwa unafutiwa yote
Sa kukimbia inasaidia nini? Hata ukifanikwa kukimbia ndo unaenda kwako au kujificha maisha yako yote?
 
unatoka nduki unajikwaa unaanguka puuu, unakamatwa, unapandishwa tena kizimbani....inabidi uwe Usai Bolt siku ya hukumu
 
Back
Top Bottom