DStv Azam zuku

DStv Azam zuku

Hapa kwa jinsi navyoona hili sakata linavyoenda ni kama kililengwa kituo kimoja tu pendwa kwa sasa hapa tz, lkn sielewi tatizo liko wapi
Mnapoisajili tv station kwa nini msimpe na uhuru wa kufanya kazi kwa maana ya leseni zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ipo sahihi sana! Lengo nikumkomboa mtanzania wakipato Chachini kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishangaza ni pale kuwaamuru waonyeshe stesheni moja tuu ya bure ambayo ni TBC.. Kwanini wasiziondoe zote..?
 
Hapana watanzania uwa hatuchoki kulalamika! Bt nmeongea na staff mmoja wa DStv anasema wapo kwenye mazungumzo, soon zitarudi kwhy nikuwa nasubira tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo nawaonea huruma wenyemakampuni haya maana wakiziachia free! Watanzania wabishi sana kulipia inabdi serikali iangalie namna ya kuwasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom