Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Tanzania tunapambana na adui ujinga.
Wapambanaji wetu wa mstari wa mbele ni walimu. Wapambanaji hawa ndo serikali haiwajali. Hivi kweli tunategemea mapambano hayo kufanikiwa? Wapambanaji wa Bukoba / wamekuwa wakipigwa viboko na maafisa wa serikali lakini maafsa hao hawakuwahi kuchukuliwa hatua za kinidhabu; badala yake walipandishwa vyeo.
Wapambanaji hao wamekuwa na hasira maisha yao yote kiasi cha kufikia hatua ya kuwaadhibu watoto / wanafunzi hadi kupoteza maisha. Alafu tunasikia majibu yanayotolewa yakiwa ya rejareja kana kwamba aliyepigwa na kufa hakuwa binadamu kama sisi. Hivi niulize kitu.
Binadamu akishakuwa na cheo kikubwa ubinadamu wake unakuwa tofauti na binadamu wengine?
Tafakari, wewe unayetoa majibu ya rejareja kwa matukio ya kuondoa uhai wa mtu.