Karibuni Sana Kwenye Sherehe za Vibanda 2018

Karibuni Sana Kwenye Sherehe za Vibanda 2018

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau wote wa JF Mnakakaribishwa kwenye Sikukuu za Vibanda maarufu kama MAKAMBI kwa mwaka 2018 katika mitaa ifutayo:
1. Mtaa wa Tegeta DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika katika Kanisa la SDA Tegeta na kujumuisha makanisa ya Bunju, Mbweni, Mabwepande,Tegeta Beach n.k
2. Mtaa wa Kinondoni DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika Viwanja vya Leaders Kinondoni.
Sherehe zitaanza tarehe 26/08/2018 hadi tarehe 01/09/2019.
Karibuni sana.

MOTTO
Mungu Kwanza
WANENAJI WAKUU:
1.Mchungaji William Bagambe
2.Mchungaji Jonas Singo
 
Kwani Watanzania ni Wayahudi mkuu ndio tusheherekee sikukuu ya vibanda?
 
Hivi ni mambo gani mnafanya huko makambini ambayo hayawezi kufanyika kwa taratibu za kawaida hadi makambi?
 
Kambini nini kinafanyika au ndo mbadala wa kufunga kwa wasabato? kwanini usifunge personal mpaka uweke kambi

Enzi zile vijana rafiki zangu wasabato (pathfinder kama sijakosea) walikua wanatumia makambi kama uchochoro wa kukutana na mademu zao na mimba zilitungwa mno enzi zile
 
Sherehe za vibanda ! Huwa mnakesha usiku kucha?
 
Wasabato wanazifuata sana amri ila hii ya kuzini imewashinda. Wako tayari kutopika au kitokula lkn chini ni moto bati. Sijui kwasababu wengi ni wapare na watu wa ziwa ?
 
Back
Top Bottom