papaa MUTOMBO MOBIMBA
Member
- Aug 27, 2018
- 28
- 38
Kwa siku za hivi karibuni katika jiji letu pendwa la chipsi kavu(dar) kumekua na ongezeko kubwa la watu wenye matumbo yaliyojazana ovyoo maarufu kwa jina kitambi..ipi siri kubwaa ya vitambi hivi?au kunavitambi vya bahati? nakama vipo vinaoteshwa wapi?au kunatafiti zilizoonyesha ufugaji wa matumbo haya unaongeza nguvu za kiume maana linapokuja swala zima la nguvu zetu tukufu wabongo tuko radhi hata tupandikizwe mabusha shingoni as long as yataongeza nguvu za kiumee..ama ni tabia za ulaji holela wa yale mahindi yetu magumu na limao lililotatuka mpaka kubaki ganda tupu na mixer ya pilipili?..naombeni kujuzwa chanzo cha vitambi.! maana kuna kila dalili majibaba wa hapa jijini wakaacha kusalimiana kwa mikono namwisho wa siku salaam ikawa nikugusanisha matumbo af kila mtu anaendelea na 50 zake.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app