Bara la Afrika laendelea kuongoza kwa maambukizi ya UKIMWI

Kizuio

JF-Expert Member
May 29, 2018
845
521
Ugonjwa wa UKIMWI unasalia kuwa janga duniani hasa kwa mataifa mbalimbali ya Afrika.

Takwimu kutoka Shirika la afya duniani WHO zinaonesha kuwa asilimia 70 ya watu Kusini mwa jangwa la sahara, wanaishi na virusi vya HIV.

Watu walioambukizwa barani Afrika ni zaidi ya Milioni 26

Maambukizi hayo sio makubwa sana Kaskazini mwa Afrika ikilinganishwa na hali iliyo hasa katika Mataifa ya Kusini mwa bara Afrika.

Asilimia 10 ya watu kutoka nchi za Bostwana, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Naimibia, Afrika Kusini, Swaziland, Zambia na Zimbawe wameathiriwa.

Madaktari na wanasayansi nchini Afrika Kusini wamekuwa wakifanya vipimo kuona ikiwa watafanikiwa kupata chanjo ya UKIMWI.

Namna mtu anavyoambukizwa HIV

Njia kubwa ni kushiriki ngono na mtu aliyeathirika.

Kuchangia vifaa vyenye ncha kali kama sindano na mtu aliyeathirika.

Kuongezewa damu kutoka kwa mtu aliyeathirika kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Kutoka kwa mama aliyeathirika hadi kwa mtoto wakati wa kujifungua.

Na kubadilishana mate au kulana denda ni moja ya chanzo cha maambukizi ya HIV

Sababu za maambukizi kuongezeka.

1. Tabia-Utafiti uliofanywa na mashirika mbalimbali kama WHO barani Afrika, unaonesha kuwa watu wanaojihusisha katika ngono na zaidi ya mpenzi mmoja, wapo katika hatari kubwa ya kupata maambukizi.

2.Hali ngumu za kiuchumi- Kutokana na ugumu wa maisha, wanawake wengi hasa wasichana huamua kujiuza ili kujipatia kipato. Mfano nchini Kenya, madereva wa malori yanayosafirisha mizigo wameendelea kukabiliana na hali hii.

3.Kutahiri na kukeketa-Kutahiri kwa wanaume na kukeketwa kwa wanawake kwa njia ya kitamaduni hasa barani Afrika nchini Kenya, Lesotho na Tanzania kumeendelea kuhatarisha maisha ya wengi.

Takwimu muhimu kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNAIDS

Watu zaidi ya Milioni 38 wanaishi na virusi vya ukimwi duniani.

Watu wengine Milioni 17.1 walioambukizwa hawafahamu ikiwa wameambukizwa yaani wana HIV lakini hawajapima

Maambukizi mapya kila mwaka ni karibu Milioni 2 duniani

Screenshot_20180828-163153.jpg
 
Iko sawa mkuu wengi wa walioathirika ni kutoka kusini mwa jangwa la sahara
Haipo sahihi acha ubishi! Yaani 70% ya watu wote kusini mwa jangwa la sahara tuwe na vvu? Karudie utafiti wako na au data ulizonazo siyo sahihi. Labda ungesema kuwa, kati ya watu miloni 38 wakioathirika na vvu asilimia sabini (70%) wanapatikana kusini mwa jangwa la sahara ingesense!
 
uko sawa asilmia 70 watu wengi sana asilimia hiyo kwa dunia anaweza kuwa sawa

Wanasema watu wengine milioni 17 wanaishi na virus bila kujijua maana hawajapima ; sasa wameipataje hiyo milioni 17 ?
Wakati mwingine hizi takwimu zinapikwa na kutiwa chumvi nyingi ili kuichafua Africa . Huu ukimwi waliupandikiza Afrika kwa makusudi , naamini Waafrika wakiisha kwa ukimwi na wao manyuklia yao yatawalipukia na kuwamaliza vilevile .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
:D:D:D
 
HIV is Really and Pure ...nashangaa kuna miafrika mijinga, Itakuja hapa namaneno haya

Ukimwi sio kitu
unaijua kansa wewe
Ukimwi upo kwa maredio
ukimwi ni mawazo yako
bora ukimwi kuliko Homa ya Ini.
n.k n.k n.k n.k

Wazungu wenye AKILI ZAO , wao kila siku wanawaza namna ya Kupambana na hili janga, ila miJAMAA ya Afrika , inachukulia kawaida.

alafu umekosea hapo yaan Asikimia 70 ya watu wa kusin mwa jangwa la sahara wanangoma?? ...useme asilimia 100 ya waathrika duniani, 70% wao wanatoka kusin mwa jangwa la sahara... Na TZ tunaenda kwa kasi balaa!!

Kwa ufupi wachangiaji wa HIV , wengi nikutoka Afrika , hata iyo 70% wamefanya kuiremba tu

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Sasa nyuzi kama izi ndo zinahitaji watu kutuliza akili. Tujadili kwa kina namna gan tutalisolve hili swala.

Ila kwakua kipaumbele chenu nikutombana na ngono zembe nasiku izi mnatombana hata nyuma mkiremba na kuziita Kula mtandao pendwa wa tigo mara jicho mara Kusafisha mtaro.

Hapa mtapita kimya kimya

Hii ndo Tanzania, nahwa ndo watanzania wenyewe

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Tatizo kuu ktk ugonjwa huu Hatuelekezi Nguvu kubwa kujikinga nao,Bali nguvu inaelekezwa kufubaza virus na kutowanyanyapaa Wadhirika.

Kweli hili limefanikiwa imefika kipindi jamii Inaona HIV ni ugonjwa wa kawaida sana au usio na Madhara .

Wazungu kwao wakipigana kuangamiza janga kabisa Africa ni soko la kuuza dawa na kuwalisha maneo kudharau Janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom