Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewafukuza kazi askari wake wawili kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali vipande viwili vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 20. My Take: Huwa nasikia...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Hii kampuni(Ngare Ltd)iliyopewa dhaman ya kukusanya tozo za maegesho ya magari katika jiji la Arusha nadhani imeshindwa kutekeleza wajibu huu. Ukitazama michoro ya mistari kwenye sehemu za...
1 Reactions
1 Replies
929 Views
Habari wakuu? Naomba kujulishwa Taratibu za kuonana na viongozi wakubwa Serikalini na email /namba zao za simu Kama inawezekana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga, Revocatus Kuuli, kuachia ngazi kutokana na kukaidi kutekeleza maagizo ya kamati hiyo...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimeona Video Clip amabayo nashindwa kuipload hapa. Inaonesha Rais mstaafu Jakaya Kikwete akipokelewa kwa shangwe na nderemo katika Shughuli ya kuapishwa Raisi wa Zimbabwe mjini Harare. Binafsi...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Hiki kisa ni kweli kilitokea. Kuna baba mmoja alikwenda kusoma Ujerumani. Akiwa kule alipata mpenzi wa kizungu. Baada ya muda walibahatika kupata mtoto wa kiume. Mama hakuwa tayari kuishi...
1 Reactions
5 Replies
888 Views
Songombinde ya sakata la sarawili imeniacha nikijiuliza kama kuna mambo yoyote yale ya "kiintelinjensia" yanayotumwa na mabalozi au watumishi wa balozi zetu kutoka ng'ambo kuja huku nyumbani...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Binafsi nikiangalia channel za wanyana nafurahi sana kumwangalia Penguin.Wako very intelligent wanafanya mambo yao kwa akili sana na wanaonekana wajanja wajanja sana "wanafurahisha" Maisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nguzo kuu ya Chadema siku zote ni umoja na ushirikiano uliotukuka . Mungu ibariki Chadema .
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom? Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya...
1 Reactions
318 Replies
64K Views
Alafu mbona magu kamwambia mpambe wake akamuondoe yule mkalimani kwanini amefanya vile. Yaani hata palamagamba alipoinuka kwenda kutoahotuba aliamua kumsalimia kumpa heshima mkulu lkn ukiangalia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza.Ni mgeni kwenye hilo suala nimeleta jukwaani nipate abc kidogo kwani kuna mdogo wangu anafuatilia mirathi yake.Ni ya muda mrefu kidogo kwani msimamizi wao alikuwa sio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmiliki wa kituo cha mafuta lake oil kibaha natumia jukwaa hili kukutaarifu upuuzi na uwizi unaofanyika kwenye kituo chako. Nimekuwa mteja mzuri wa kituo hiki kwa muda mrefu lakini nilikuwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
NILICHOJIFUNZA KATIKA MSIBA WA MAMA YAKE SUGU MOSI ni uhusiano wa kijamii. Pili ni mahakama na athari za uamuzi wake. UHUSIANO Katika ibada ya kumwombea mama yake Sugu, Desderia Mbilinyi...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam kwa wale wafuatiliaji wa darsa zangu nadhani hawatakuwa na ugeni na namna ambavyo ninavyowachambua Majini na Wachawi lakini pia habari kuhusu Nyota,Ndoto...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Watu wasioamini uwepo wa Mungu huko Kenya wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwatambua na kuwatengea siku yao maalumu kama wakristo na waislam walivyo na sikukuu zao za kidini Rais wa chama hicho...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa jinsi ambavyo mtu anaweza akapata nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwenye mashirika ya ndani au yakigeni Nawasilisha naombeni msaada wenu
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Hii kasumba ya kulea na kuwafuga mashoga imekithiri Wengine ni mastaa wa bongo maarufu wengine ni wanasiasa wakubwa maarufu wamegeukia kuwafuga na kuwalea mashoga Wanawaweka mjini wanawalipia...
2 Reactions
68 Replies
14K Views
Wakuu habari za jioni, kama wiki mbili zilizopita niliomba msaada wa kuoneshwa zilipo ofisi za jumuiya ya kiuchumi ya Nchi za kusini Mwa jangwa la sahara SADC hapa Tanzania, Kuna mdau alinipa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Japo mie nshaacha kununua magazeti muda mrefu, ila hupenda kusikiliza kwenye radio kimhutasari magazeti yametoka na habari gani za siku husika. Leo sikuamini kama gazeti linaloheshimika la...
3 Reactions
51 Replies
11K Views
Back
Top Bottom