nashindwa kulog in kupitia jf app .msaada tafadhali

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,143
2,999
kama kichwa cha habar kinavyojieleza.

nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita.sasa nmepata simu mpya lakini kila nikijaribu kulog in kupitia jf app nashindwa maana haileti option ya kuingia
 
kama kichwa cha habar kinavyojieleza.

nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita.sasa nmepata simu mpya lakini kila nikijaribu kulog in kupitia jf app nashindwa maana haileti option ya kuingia
kwenye ile sehemu plain ambayo haina maandishi yoyote pale ambako login ndo ilipaswa kuwepo, weka kidole chako Kama vile una login tu kawaida itakubali
 
kwenye ile sehemu plain ambayo haina maandishi yoyote pale ambako login ndo ilipaswa kuwepo, weka kidole chako Kama vile una login tu kawaida itakubali
Bado kuna shida. Nilijaribu maelekezo yako lakini hayajasaidia
 
Fungua JF kupitia browser kwanza uki-log in watakuleta terms ambazo unatakiwa uzisome kama utakubaliana nazo basi accept tu baada ya hapo rudi kwenye JF App unateleza kama kawaida kuna mabadiliko wamefanya,pole sana.
 
kwenye ile sehemu plain ambayo haina maandishi yoyote pale ambako login ndo ilipaswa kuwepo, weka kidole chako Kama vile una login tu kawaida itakubali
Kwenye hio screen shot kutoka kwenye JF app, hicho kidole wakiweka wapi ili u-log in? Nauliza kwa sababu ile sehemu ilioandikwa LOG IN haibonyezeki. Iko inactive
 
Attachments

  • Screenshot_2018-05-24-19-21-54.png
    Screenshot_2018-05-24-19-21-54.png
    13.4 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom