Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,317
Reaction score
23,192
Wazee wa fursa tupo,
Nyie diaspora, ni vitu gani (bidhaa, huduma) ambazo huko mnakoishi vipo ila bongo havijafika??

Tajeni zile ambazo ni consumables, ambazo hata bongo zaweza kuwa consumed.
 
Wazee wa fursa tupo,
Nyie diaspora, ni vitu gani (bidhaa, huduma) ambazo huko mnakoishi vipo ila bongo havijafika??

Tajeni zile ambazo ni consumables, ambazo hata bongo zaweza kuwa consumed.
Nikadhani labda unaulizia fursa za kibiashara kumbe mambo ya maakuli! Nadhani swali katika posti namba 2 linakuhusu...
 
Huku wanawake hawaombi pesa tofauti na bongo mkibadilisha namba ya simu baada ya dakika anakuambie nitumie sijala mizinga mingi
 
Labda ungetuambia unahitaji nini ambavyo huko hakuna


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa mtazamo wangu, fursa za kibiashara huangalia soko la mahali ulipo wanahitaji nini. Hii ina maanisha sio kila cha marekani kitakuwa na market Tanzania.
 
Nikadhani labda unaulizia fursa za kibiashara kumbe mambo ya maakuli! Nadhani swali katika posti namba 2 linakuhusu...
Wewe kwa akili zako finyu unadhani consumables ni chakula pekee, bidhaa na huduma yeyote ile inapotumiwa na mlaji wa mwisho ndio tunasema imekuwa consumed
 
Nimesikia serikali inasema wale diaspora wasiogope kuwekeza nchini. Sasa huwa nashangaa hii kauli. yaani huku wanawapenda huku hawawataki. Serikali ilikataa kuhusu uraia pacha, sasa inawataka kuja kuwekeza. Kama nikiwekeza nani atasimamia ilhali watanitambua kama mgeni na sio Mtz? Hili limekaaje. Mleta mada angenufaika vyema sana ikiwa serikali itaangalia upya suala la diaspora
 
Wewe kwa akili zako finyu unadhani consumables ni chakula pekee, bidhaa na huduma yeyote ile inapotumiwa na mlaji wa mwisho ndio tunasema imekuwa consumed
Acha povu, ninyi ndio mnaotuharibia lugha... Ungekaa kimya ungeonekana una busara zaidi...
 
Back
Top Bottom