Ushasoma kile kitabu chake?Habari wanajamvi. Baada ya sakata la ving'amuzi nikasema ngoja niende stoo nikatafute king'amuzi changu cha DIGTEK nilichokiteleza muda mrefu. Nimeunganisha lakini naona hakionyeshi. Nimeenda kwenye mtandao kuwapigia hao jamaa wa DIGITEK naona naomba zao zinaita tu hazipokelewi na ofisi yao pale Makumbusho naona wameifunga. Mwenye taarifa anijulishe hii kampuni bado ipo au ndio tayari imeshakufa au kuna sehemu nyingine wamehamishia ofisi zao?
Tafuta fundi wa madishi atakusetia coordinates,digitek ni bure kinakamata sattelites za bureWanajamvi mpaka sasa sijapata jibu. Naomba mwenye taarifa ya DIGTEK bado ipo au imeshakufa?
Mengi siku zote ni mbabaishaji hakuna alichofanikiwa zaidi ya Bonite na ITV tuu siyo mbunifuHivi wakuu kwanini mzee mengi na ipp media walismua kuitelekeza digitek?,
mzee mengi aliona nn???