Picha halisi ya Deogratius Kisandu(origino) na Feki Deogratius Kisandu(Benard Mtorela)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Picha halisi ya Deogratius Kisandu na Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela)

1.Picha ya kwanza ni ya kidato cha pili pale Magu Sekondari januari 1998 yenye Uniform, wa kwanza kushoto ni Deogratius Kisandu(Origino) na wa pili kulia ni Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela)

2. Picha ya pili ni mwaka 1997 mjini magu siku za wikendi, mwenye kofia ni Deogratius Kisandu (origino) na Mwenye Fulana ya bluu ni Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela).
deo.jpg

Michezo hii michafu ikomeshwe kabisa, mtu akihama au kuacha shule mtu mwingine anadakia jina la mtu bila kujua mwenye jina anakwenda kuwa nani huko mbeleni. Mimi niliacha Magu sekondari(Evening class) sababu ya kwenda utawani na nirirudi na kuendelea na masomo kwa kuanza kidato cha kwanza upya pale Kishimba sekondari(Evenning class) mwaka 1999 wilayani kahama. Sipendi kuona jina langu akilitumia mtu mwingine kwa vyovyote vile. Pia kuna wengine wametengenezwa kwa lengo la kunichafua Dar es salaam na Mkoani Tanga lakini wote nitawakomesha.
 
View attachment 481403

Sasa ukiweka picha za watu unaowajua wewe enzi za kusoma kwako na kusema hii orijino sijui hii fake then sisi tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom