Matumizi ya simu ya namna hii ni ushamba au?

Matumizi ya simu ya namna hii ni ushamba au?

joka dogo

Senior Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
123
Reaction score
86
Habari ndugu zangu

Kuna tabia imezuka siku hizi ya mtu kuongea kwa sauti kubwa huku mambo anayoyaongea hayana tija kwa wengine ,mfano juzi nilikuwa nimekaa nikinywa soft drink kiukweli eneo lilikuwa la wazi idadi tuliokuwa tumekaa ni kama mabinti 3 na wanaume 5 kila MTU kivyake .ghafra alifika jamaa mmoja akiwa Ktk gari aina Toyota marck 2.aliposhuka akanza kuongea na simu ,mazungumzo yake yalikuwa hivi"VP Rafiki yangu,wale mafundi nawatumia laki Tisa si unajua boss ananikubali kanipa posho kama million 2 na mengne meng aliongea .Leo tena nikiwa ATM machine jamaa mmoja kaanza kuongea tena mambo yake kwa sauti kubwa ....

Je, ni sahihi kwa vitendo HV??
 
Habari ndugu zangu ,kuna tabia imezuka siku hizi ya mtu kuongea kwa sauti kubwa huku mambo anayoyaongea hayana tija kwa wengine ,mfano juzi nilikuwa nimekaa nikinywa soft drink kiukweli eneo lilikuwa la wazi idadi tuliokuwa tumekaa ni kama mabinti 3 na wanaume 5 kila MTU kivyake .ghafra alifika jamaa mmoja akiwa Ktk gari aina Toyota marck 2.aliposhuka akanza kuongea na simu ,mazungumzo yake yalikuwa hivi"VP Rafiki yangu,wale mafundi nawatumia laki Tisa si unajua boss ananikubali kanipa posho kama million 2 na mengne meng aliongea .Leo tena nikiwa ATM machine jamaa mmoja kaanza kuongea tena mambo yake kwa sauti kubwa ....je ni sahh kwa vitendo HV??
Hahaha uhuru binafsi mkuu[emoji16]

Ila mda mwingine ukiona hivo ujue jamaa anataka kiki kwa binti mrembo aliyekaribu na hapo aonekane yuko vzuri kiuchumi,,[emoji1]

Ila madada wengi hawana hizo, tunazo ss wanaume hizo tabia,

Japo siungi mkono hizo mambo,
 
Habari ndugu zangu ,kuna tabia imezuka siku hizi ya mtu kuongea kwa sauti kubwa huku mambo anayoyaongea hayana tija kwa wengine ,mfano juzi nilikuwa nimekaa nikinywa soft drink kiukweli eneo lilikuwa la wazi idadi tuliokuwa tumekaa ni kama mabinti 3 na wanaume 5 kila MTU kivyake .ghafra alifika jamaa mmoja akiwa Ktk gari aina Toyota marck 2.aliposhuka akanza kuongea na simu ,mazungumzo yake yalikuwa hivi"VP Rafiki yangu,wale mafundi nawatumia laki Tisa si unajua boss ananikubali kanipa posho kama million 2 na mengne meng aliongea .Leo tena nikiwa ATM machine jamaa mmoja kaanza kuongea tena mambo yake kwa sauti kubwa ....je ni sahh kwa vitendo HV??
Kwani akiyaongea we utamfanya nn? Kama mpunga atawatumia kumuibia huwezi we mwache ajiachie kama wwe huna usikasirike
 
kuongea ndio starehe yake kama wewe unavyopenda soft drink

wewe unamnunulia vocha?
 
dunia ni yetu sote lakini kila mtu ana mambo yake kwa hiyo ukiona mtu anaongea mambo yake nawe fanya yako hayakuhusu....
tatizo labda akiamua kuongea mambo yako mbele ya watu
 
Write your reply...sasa na wewe hizo soft drinks si ungeenda kunywea ndani kwako?
 
dunia ni yetu sote lakini kila mtu ana mambo yake kwa hiyo ukiona mtu anaongea mambo yake nawe fanya yako hayakuhusu....
tatizo labda akiamua kuongea mambo yako mbele ya watu
Ili mradi havunji sheria za nchi
 
Umaskini tu unakusumbua ulitaka aongee mambo yake akiwa Chooni.

Tafuta hela hata wewe utaanza kuongea hayo maongezi.
Mtu anakunywa Pepsi ya 500 halafu ghafla anatokea mtu anaongelea posho ya 900,000/- unadhani povu lake litakuwa la kiwango gani? Omo, Mshindi, Auriel!!!
 
Hao ni wasukuma ndugu zake jamaa mmoja mwenye taaluma ya korosho.

Tuwavumilie maana ni watanzania wenzetu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee
Mtu anakunywa Pepsi ya 500 halafu ghafla anatokea mtu anaongelea posho ya 900,000/- unadhani povu lake litakuwa la kiwango gani? Omo, Mshindi, Auriel!!!
 
Back
Top Bottom