heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 925
- 528
Hamtupi taarifa mmefikia wapi kumaliza mgogoro wenu wa kisheria na serekali wala hamuoni kuwa mnazidi kupunguza coverage day by day. Watu tulinunua ving'amuzi kwa ajili ya kuhabarika sasa leo mnatuwekea movie tu. Eti habari tuipate azam app?!!
Wangapi wako kwenye networks nzuri,wangapi wana uwezo wa kununua hizo smart phones. Msipoangalia wateja hasa wa vijijini mtawapoteza wote
Wangapi wako kwenye networks nzuri,wangapi wana uwezo wa kununua hizo smart phones. Msipoangalia wateja hasa wa vijijini mtawapoteza wote