Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,596
- 1,812
Last week nilitembelea shule ya sekondari ,ipo kariakoo katikati ya Benjamin Mkapa na ile shule ya Viziwi,ni shule ya umma,baada ya kumalizia shughuri yangu wakati natoka nikakutana na wanafunzi pale nje,nadhani ilikuwa break time.
Basi nikaanza kuongea nao na kuwauliza maswali mbalimbali kuhusu mazingira,walimu na masomo,shule ni ya mchanganyiko na inafundisha michepuo yote,ila wanafunzi wa kidato cha kwanza ambao next year wanaingia kidato cha pili wanasema tangu wameanza shule hadi leo hii hawajawahi fundishwa Book-keeping wala Commerce na walimu wa masomo hayo hawapo.
Sasa nikajiuliza,hawa wanafunzi mwakani watafanya mtihani wa taifa (kidato cha pili), nini itakuwa hatma yao kuhusu hayo masomo mawili?
Kama kuna wataalam wa mfumo wa elimu yetu humu watusaidie.