Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Pesa sijui ameenda wapi siku hizi. Sijui yupo likizo!
Kumpata Bw. Pesa ni kazi ya ziada sana. Pesa una majukumu mengi Pesa ?
Tunakutafuta huku mtaani hatukuoni Bw. Pesa. Tunapata shida sana.