Shule za African Tabata nursery na primary zinapigwa mnada na CRDB leo

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Jana nikiwa naelekea segerea nikapishana na gari linatangaza mnada wa kuuza hizi shule na muuzaji ni CRDB. Nilisikia za chinichini kuwa huyu mmiliki wake anadaiwa madeni kama yote. Wenye nia jitokezeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"madeni kama yote" unakuta mtu mzima na akili zake kbs nae anatumia lugha za namna hii!
hizo ni swaga tu na zina msimu. hivi umesahau ktk sherehe zilizotangazwa dodoma kama jiji, raisi nae alitumia wanao mpinga anawacheki tu na kusema hiiiiiii. Au nae sio mtu mzima? Baada ya utapata tabu sana, sasa msemo unaotrending ndo huo yani kama yote.
 
Jana nikiwa naelekea segerea nikapishana na gari linatangaza mnada wa kuuza hizi shule na muuzaji ni CRDB. Nilisikia za chinichini kuwa huyu mmiliki wake anadaiwa madeni kama yote. Wenye nia jitokezeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kuna mtu aliniambiaga kuwa sheria hairuhusu taasisi zinazotoa huduma kwa jamii kupiga mnada, sasa sijui alinidanganya au ndivyo ilivyo. Wanasheria mliopo huku tunaomba msaada wenu, ila msitudai consultation fees
 
madeni yanapasua mioyo ya watu madeni yananyong'onyesha miili ya watu

madeni yanasababisha vidondatumbo madeni yanaweza kukufanya utembee huku ukiongea mwenyewe, madeni yanaweza kukufanya usinzie kwa masaa maeili tu huku masaa yaliyo baki ukiwaza ni namna gani utajinasua

madeni madeni we acha tu....
 
Mkuu unashauri watu wasikope??

Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom