Kanisa na Vatican wamchunguze Kadinali Pengo, Maaskofu wote wanufaika wa Tegeta Escrow ni wasaidizi wake

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Askofu Kilaini na Askofu Ausebius Nzingirwa hawa ni wanufaika wa pesa za Tegeta Escrow.

Je ni kwanini maaskofu hawa waliopokea pesa za ESCROW wote ni wale tu wasaidizi wa Pengo? Japo Kilaini alihamishwa lakini katokea kwa Pengo. Huyu mwingine Nzingirwa ni msaidizi wa Pengo. Je Pengo kwanini anapendekeza wasaidizi wenye kasoro kimaadili?

Tukiwa tunaendelea kutafakari ufufuo wa Yesu Kristo, Kanisa linatakiwa lichunguze maadili ya Cardnali Pengo kama anafaa kuendelea kulea kondoo wa bwana na ikiwezekana limstaafishe kwa manufaa ya kanisa.

Mshiriki wa Kanisa.
 
Umechanganyikiwa na nini? Pengo alishasema waraka huo hautambui nasi tumekubali kuwa haifai sasa mtulie tu hamtabadilisha chochote tena
 
Waacheni wafanye mambo muhimu katika jamii kama ubatizaji wa huyo kijana wa kiafrika kutoka naijeria,nyinyi majungu yenu yameshachokwa.
 
Umechanganyikiwa na nini? Pengo alishasema waraka huo hautambui nasi tumekubali kuwa haifai sasa mtulie tu hamtabadilisha chochote tena
Unavyoamini ni jambo moja na ukweli ni kitu kingine. Halafu, ni kama unaandika kwa kushurutisha na kutaka watu wausahau waraka. Hayo mamlaka amekupa nani?
 
Achana naye huyo Lumumba Waraka ni kwa makanisa yote Tanzania mamlaka ya Pengo yanaishia Mbezi mwisho hata Kibaha Pwani hayafiki.
 
Umechanganyikiwa na nini? Pengo alishasema waraka huo hautambui nasi tumekubali kuwa haifai sasa mtulie tu hamtabadilisha chochote tena
Hautambui yeye kama yeye maana sio kiongozi wa kanisa Tanzania,wanaoutambua na kuuelewa ni wale walioutoa ambao ni Baraza Maaskofu ambao ni wakubwa kuliko yeye
 
Hela za Escrows Kikwete sialiisimama nakutuambia kuwa Aikuwa Mali ya Ummna.

Mimi Namwamini kikwete hata Rugemarila huko sagadanso wako wanamtesa bure tu.
 
Askofu Kilaini na Askofu Ausebius Nzingirwa hawa ni wanufaika wa pesa za Tegeta Escrow.

Je ni kwanini maaskofu hawa waliopokea pesa za ESCROW wote ni wale tu wasaidizi wa Pengo? Japo Kilaini alihamishwa lakini katokea kwa Pengo. Huyu mwingine Nzingirwa ni msaidizi wa Pengo. Je Pengo kwanini anapendekeza wasaidizi wenye kasoro kimaadili?

Tukiwa tunaendelea kutafakari ufufuo wa Yesu Kristo, Kanisa linatakiwa lichunguze maadili ya Cardnali Pengo kama anafaa kuendelea kulea kondoo wa bwana na ikiwezekana limstaafishe kwa manufaa ya kanisa.

Mshiriki wa Kanisa.

Siku zote Mwendawazimu hupenda kuchagua Wendawazimu wenzie. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom