Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

IRINGA: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA SERIKALI KUPINGA KUSIKILIZWA MAOMBI YA KUONDOLEWA KWA AMRI YA TCRA KUHUSU CHANELI ZA NDANI Wakili wa Serikali alipinga Mahakama hiyo kusikiliza...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Ilikuwa majira ya asubuhi, Jumanne ya tarehe 11 mwezi septemba mwaka 2001 ambapo dunia ilipatwa na mshtuko kutokana na mashambulizi ya kigaidi ndani ya ardhi ya Marekani! Yalikuwa ni...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Wengi wetu tunakuwa na vitu ambavyo hatuvihitaji lakini vinaweza kusaidia wengine. Mfano ulinunua dozen ya vikombe 12, vingi vilivunjika vikabaki vitatu, umenunua dozen nyingine vile vitatu...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya...
18 Reactions
52 Replies
9K Views
Nimesoma habari ya kufurahisha kuwa wanyama aina ya Faru watawekewa vifaa maalum kufuatilia nyendo zao kila walipo kuzuiya kuuwawa na majangili.Wanyama hawa wako wachache mno.Nilikuwa nauliza hapa...
2 Reactions
10 Replies
874 Views
Bila kupoteza muda nimefanya kautafiti pori kidogo nimegundua mshahara au posho za watu wanaofanya kazi kwa wahindi huwa ni mishahara mbuzi(midogo sana) yani ambayo haikizi kabisa gharama za...
1 Reactions
70 Replies
11K Views
Watu wanne wakimemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Isuzu walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kwenda kugonga gema katika eneo la Kikelelwa wilaya ya...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Piki piki au bajaji yenye uwezo wa kubeba abiria saba,imeundwa na Mzee Mbaga kinondoni Dar es salaam.
31 Reactions
176 Replies
73K Views
Sheria ya Taasisi za Kazi Na. 7, ya mwaka 2004 kama ilivyorekebishwa mwaka 2015, imeanzisha Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi ambayo ina jukumu la kufanya utafiti kwa kuzingatia hali halisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu.. Tushazoea kuona sehemu zenye bahari au maziwa makubwa mara nyingi hutumika kutupa vinyesi au uchafu unaotokea hospitalini au uchafu mwingine unaohusiana na hivyo (waste...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Serikali imetatua tatizo la kuwepo kwa karatasi za risiti zinazofutika maandishi zinazotolewa na Mashine za Kielektroniki za kutolea Risiti (EFDs) kwa kuwataka wafanyabiashara wote kununua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mradi wa Mabasi ya mwendokasi sidhani utadumu miaka miwili mbele. Huduma mbovu na kutojali wateja vinawamaliza. Magali yanafika kituoni watu wamerundikana halafu yanaondoka kwa mbwembwe bila...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Nimefanya kazi nyingi sana za field vijijini, karibu kila nyumba niliyoenda familia yenye watoto wachache ni 5 .familia kuwa na watoto 7,8 kawaida. Halafu maeneo kama ya mkoa wa mwanza na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimejaribu kumuuliza kwa sms ikawa kimya,nikaona huenda wapo karibu naye,nimekaa kama nusu saa nimepiga hayuko hewani!Tunaomba mlioko huko mtujulishe
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mungu huangalia na kuchunguza mioyo ya viongozi kabla hata hawajazaliwa Sio kweli kwamba Kagame na Museven hawajachoka kutawala,wamechoka ila bado Mungu anamakusudi nao, Wanachokifanya ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Soma 1Wakorinto 1:26 -29 Mifano halisi kwenye biblia 1 Samweli 16:7, Isaya 6:5-7, 1 Samweli 16:12-13, Waamuzi 6: 15-16, Luka 1:26-30. na Mungu wetu mwema akubariki na kukuhudumia, katika jina...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu jamani,naomba kuuliza leo nataka kwenda kumpokea mtu pale Airport lakini nina usafiri wa Pikipiki je nitaruhusiwa kuingia nayo mpaka kwenye Parking za Airport,Naombeni msaada wenu jamani
0 Reactions
28 Replies
4K Views
….Hello JF …..sijui kama mnaona kama nionavyo mie…, ...…watoto wengi wa secondary wanachagua masomo ya science sababu they are popular at school, ...wakati ule ukisoma PCB ama combination...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Maajabu ya tanzania nchi yangu....khaa[emoji26][emoji26][emoji26]
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom