Inaitwa zoea nanga kabla haijanoa; mwanasiasa sio tunda bado tunangoja.

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
269
224
Wasalamu,

Ngoja ngoja inang'ata taifa ila bado hatujashtukia. Matusi mengi tunapewa na kuambiwa kwamba kizazi hiki ni cha mjusi; bado hakijasimama kijasiri kupigana. Niwazi kwamba moyo huu bado hauna tiba! Je kuna saa moja uliona muda ni mwanaharamu hauna maana kwa zama hizi? Pale mwanasiasa "kahaba" anapotanga kusaka nafasi kwa hatia ya kufuata juhudi na kuunga mkono?

Siri ya moyo, anayo ujasiri kwa anayejua kuitunza. Tambua kwamba wanasiasa hao uchwara wako wengi. Watakupa fedha kadhaa kwa dhambi ya wizi na kupindisha matumizi kuteka wako moyo. Heshimu mvua kabla huja loana. Haupo kwenye mpango wa pili. Ule wa maendeleo endelevu.

Kwa hili linalofanya kwa sasa si upendo ni njia ya kufanya uone ngoja ngoja. Rafiki huo wakati haujawahi kutabiri. Fanya tanzia. Haifai kupewa pole. Matusi mengi hayatasaidia.

Ukweli ni kwamba mvumilivu hali mbivu; tumedanganywa na wazee wetu. Tujifunze kutoka kwa huyo mwanasiasa mpuuzi aliyekimbia kabla ya muda. Tiba ya upweke inatisha kupatikana kwake. Ni hatari. Mwanaharamu hajui laana.
IMG_-gfyoq8.jpg
 
Ingawa mvumilivu hali mbivu, bado tujipe muda mpaka maembe maji yote yakomae. Kwasasa yaliyokomaa ni machache mno kwaajili ya mahitaji. La sivyo tutajikuta tumerudi hatua 1000 kwa uharaka wetu wa kukurupukia mambo. Be patient until atleast the ⅓ of fruits wiped.
 
Back
Top Bottom