PPF wanaweza kunipa mkopo wa fedha?

PPF wanaweza kunipa mkopo wa fedha?

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
487
Reaction score
780
Salute.wakuu kutokana na vyuma kukaza nikapata wazo nikakope fedha mfuko was ppf maana mi mteja wao sasa sina uhakika kama wanakopesha au la maana maana kufikisha hiyo miaka 55 si Leo.naomba mwenye uzoefu na hili anipe taarifa zaidi asanten.
 
Si uende kwenye mabenki ? Siku hizi wamelegeza masharti mbona ! PPF? Mmmh
 
Sasa udart ndgu wizi umeacha kwanza lupitia mwendo kasi?
 
Back
Top Bottom