Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau kichwa cha habari chajieleza. Ninatumia king'amuzi cha star times kifurushi kimeisha muda wake. Sikuwa na hofu kuhusu hila maana nilijua nina channel tano za kutazama bure. Ni siku mbili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakati wa zana za mawe binadamu hakumiliki mali, hakuwa na makazi maalum na wala hakuwa na familia. Tuliishi kama wanyama ingawa kwa maendeleo tulijenga vibanda vya kutustir na mvua. Wanaume...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Namaingo: Biubwa Ibrahim. Leo tarehe 15 ofisi za Namaingu Business Agency Ltd chini ya Mkurugenzi, Bi. Biubwa Ibrahimu, imefafanua jinsi kampuni inavyokwenda kimkakati kutekeleza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakubwa kwa wadogo. Sio siri nimelazimika kuingia humu chapchap nikijua kunamtu katupia uzi wa mada tajwa hapo juu,lkn naona hakuna. Juzi nilikuwa naangalia tbc habari. Wakati wa matangazo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo tarehe 15/9/2018, kuna tamasha la urithi linazinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, lengo la tamasha ni kuenzi na kufumisha utamaduni wetu. Mila na desturi ni kielelezo chetu sisi...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
tabia ya kukagua magari yanapotoka ni utaratibu mbovu kabisa! hapa kuna mabasi ya mwanza na songea bado yapo foleni ya kutoka saa 1 hii wakati inatakiwa saa 12 yawe yameshaondoka! kweli mnyonge...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Siri ya mwanafunzi kufanya vizuri shuleni: 1.Mzazi mfunze adabu njema. 2.Mzazi fuatilia kila mwenendo wamwanao. 3.Mzazi tambua ufaulu wa mwanafunzi ni mambo 3. Mwanafunzi anayejitambua,Mzazi na...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Madereva wafurahia kutumia barabara ya juu katika makutano ya Tazara
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu dada mzuri shombe shombe flani hivi wa kiarabu alikua anatangaza taarifa ya habari kwa lugha ya kingereza pale ITV aliendaga wapi? mwenye taarifa zake au hata namba zake anitumie tafadhali..
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tujulishane machimbo ya kupata gym affordable na zenye vigezo vyote, Wapi sehemu unayoijua mdau,sio lazima iwe eneo ulilopo Ila kama unaijua tupe qualifications na bei yake Hii itasaidia kwa wale...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya hivi karibuni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutembelea na kukagua ujenzi wa barabara za juu (flyover), eneo la Tazara Dar es salam na kusema umekamilika...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar wa ndg.. Kuna haka katabia kakukurupuka kisiasa ....tena katika sekta muhimu ya elimu....jamani tatueni kwanza changamoto za walim.... Wanasiasa mnawaonea sana walimu... Wanafunzi 800" """...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Hoja yangu viwanja vingi vinamilikiwa na ccm je?walivijenga wao au ni nguvu ya wananchi na kama wamejenga wao nchi fedha walipata wap tunahitaj maelezo kutoka kwa ccm na wazir wamichezo tunahitaj...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Habari ndugu wana jamvi. Mimi ni muajiriwa wa serikali nimeanza kazi si muda mrefu nina miaka 24, nilikua nina ndoto za kujenga ili niwe na kwangu mapema...katika pitia pitia za mikopo ya bank...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
10% ya watu duniani kote hutumia mkono wa kushoto kuandika. 75% ya wanawake huuliza maswali ambayo tayari majibu yao wanayo hivyo Ni Bora uwaeleze ukweli maana tayari wanajua. 80% ya watu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi wapendwa; Naomba kuuliza je, kuna madhara yeyote kiafya kwa mtu /watu /watoto watakao lala chumba kimoja na piki-piki (boda-boda) iliyojazwa petrol kama Yale ya mkaa huku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni Samsung amekuwa akipata changamoto nyingi sana kutoka kwa mchina kutokana na sim zake nyingi kutolewa copy ambazo hazina ubora na kuingizwa sokoni kitu...
5 Reactions
70 Replies
8K Views
Habari Wana Uwajibikaji Jamii Naitwa Lilian Kimola Nimeandaa ibada ya kumsifu Mungu Tarehe 21/10/2018 Kwa Unyenyekevu kabisa Nakukaribisha uje Tumsifu Mungu pamoja wale walio Dar hata Walio...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
TLS inapenda kuwajulsha kuwa siku ya jumamositarehe 15 Septemba 2018 kuanzia saa mbil asubuhi wanachama wachama hicho watakutana katika mkutano wao mkuu ambapo wanachama watajadili mambo...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…