Kama hujui ugumu wa kazi ya ualimu acha kuwaongelea walimu

mansolata

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
503
317
Habar wa ndg..
Kuna haka katabia kakukurupuka kisiasa ....tena katika sekta muhimu ya elimu....jamani tatueni kwanza changamoto za walim....
Wanasiasa mnawaonea sana walimu...
Wanafunzi 800" """ Walimu 8 s/msingi
Wanafunzi 250" """ Walimu2 sec.school
Halafu mtegemee miujiza ya mtokeo ya mitihani,,...
Hii huwezi ipata mijini ,,,tembelea vijijini ujionee

Kuna sauti ya DC MURO akikoroma kuusu walimu...eti wamalize syllabus ndani ya wiki haelewi hata maana ya syllabus,,,,, huu ni ubakaji wa elimu yetu,,,,,
Daima elimu yetu itazalisha vyeti bila ujuzi kwa mwendo huu , ,,,,,

Nimeshindwa Ku_upload
 
Sijui kwa nini walimu wanadhauliwa sana hapa kwetu. Imefika mahali mlinzi wa geti la halmashauri anajiona bora kuliko mwalimu wa shahada ya kwanza au ya pili. Kichekesho

Hatutaweza kulikomboa taifa hili ki-elimu kwa kumtisha na kumdhalilisha mwalimu nasema tena hatutaweza.
 
Mpaka watakapojua thamani yao maana walimu njaa zao zinawafanya wasijue thamani yao,
 
Habar wa ndg..
Kuna haka katabia kakukurupuka kisiasa ....tena katika sekta muhimu ya elimu....jamani tatueni kwanza changamoto za walim....
Wanasiasa mnawaonea sana walimu...
Wanafunzi 800" """ Walimu 8 s/msingi
Wanafunzi 250" """ Walimu2 sec.school
Halafu mtegemee miujiza ya mtokeo ya mitihani,,...
Hii huwezi ipata mijini ,,,tembelea vijijini ujionee

Kuna sauti ya DC MURO akikoroma kuusu walimu...eti wamalize syllabus ndani ya wiki haelewi hata maana ya syllabus,,,,, huu ni ubakaji wa elimu yetu,,,,,
Daima elimu yetu itazalisha vyeti bila ujuzi kwa mwendo huu , ,,,,,

Nimeshindwa Ku_upload
KAMA RAHIS APELEKWE TTC AKAMALIZE SILABAS KWA MIEZ 3
 
Acha kukariri wewe
Ualimu ndio nini toa U-Alimu ina maana gani
Uwalimu toa U-walimu
Usipende kujifanya mjuaji mbele kiza
Uimbatanishe kwenye jalada la bibi ako Faizafox
Umetokwa povu bure tu ila sio UWALIMU ni UALIMU usijifanye mjuaji kama wewe ni mmoja miongoni mwa Walimu,Taifa limepata hasara nyingine. Tafiti ujiridhishe hatuna neno UWALIMU katika kiswahili. Shame! Hujui unajifanya mjuaji.
 
Hujui kitu ualimu wewe unaupata kwenye kutamka ila kimuundo wa neno ni uwalimu
 
Habar wa ndg..
Kuna haka katabia kakukurupuka kisiasa ....tena katika sekta muhimu ya elimu....jamani tatueni kwanza changamoto za walim....
Wanasiasa mnawaonea sana walimu...
Wanafunzi 800" """ Walimu 8 s/msingi
Wanafunzi 250" """ Walimu2 sec.school
Halafu mtegemee miujiza ya mtokeo ya mitihani,,...
Hii huwezi ipata mijini ,,,tembelea vijijini ujionee

Kuna sauti ya DC MURO akikoroma kuusu walimu...eti wamalize syllabus ndani ya wiki haelewi hata maana ya syllabus,,,,, huu ni ubakaji wa elimu yetu,,,,,
Daima elimu yetu itazalisha vyeti bila ujuzi kwa mwendo huu , ,,,,,

Nimeshindwa Ku_upload
hiyo kazi.... simshauri mtu yeyote aifanye.. na akiwa mwalimu ajiandae kufa kabla ya muda wake
 
Kama mtoa 'thread' ni mwalimu sioni haja ya walimu kuacha kudharauliwa yani hata kiswahili hujui. So shame!!
 
kiukweli Huyo aliyeagiza syllabus iishe ndani ya wiki katoa mpya au alinukuliwa vibaya sasa

Kufundisha sio kama kuinstall windows kwenye pc
Huyo aliyetoa oda ya kumaliza silabasi ndani ya wiki anahic kufundisha ni kama ku install window ktk pc. Kufundisha co mchezo rahic kihivyo
 
Kama mtoa 'thread' ni mwalimu sioni haja ya walimu kuacha kudharauliwa yani hata kiswahili hujui. So shame!!
Kumbe na wewe ni mpiga vuvuzela
...UA...
...nje..
...oa...
...nge...
Ukiijua kudadavua lugha raha sana..
,,ligi unayoanzisha leo tumeijadili miaka 8 iliyopita
 
Back
Top Bottom