Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Habari za siku nyingi wapendwa;
Naomba kuuliza je, kuna madhara yeyote kiafya kwa mtu /watu /watoto watakao lala chumba kimoja na piki-piki (boda-boda) iliyojazwa petrol kama Yale ya mkaa huku madirisha yakiwa yamefungwa !?
Ahsanten.
Mwenye ufahamu please !