UHALISIA KWA ASILIMIA

UHALISIA KWA ASILIMIA

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,049
Reaction score
61,375
10% ya watu duniani kote hutumia mkono wa kushoto kuandika.
75% ya wanawake huuliza maswali ambayo tayari majibu yao wanayo hivyo Ni Bora uwaeleze ukweli maana tayari wanajua.
80% ya watu hujifanya wanaandika meseji pale wanapokua mazingira yasiyo rafiki.
90% ya watu hujifanya wanacheka pale wanapokua hawajaelewa kinachosemwa
91% ya watu hawajisikii vizuri pale sauti ya TV inapokuwa katika namba tasa mfano 31,33,37,43,29 etc
95% ya watu wamewahi kudondokewa na simu zao usoni pale wanapozitumia wakiwa wamelala.

90% ya mawazo ya mwanadamu kabla hajalala Ni juu ya vitu ambavyo anatamani vitokee,mambo anayopenda yamtokee katika maisha.
85% ya wanawake huvaa brazia ambazo sio size yao.
80% ya mionzi itolewayo na simu huvutwa (hu abrsoviwa) na kichwa.
40% ya species Za samaki huishi katika maji fresh Cha ajabu maji freshi duniani kote yako chini ya 1%.
10% ya chakula chote duniani huliwa na wadudu.
90% ya ndoto unazoota huwa unazisahau
73% ya wanaume wazee KUANZIA miaka 70 Wana uwezo wa kuzalisha fresh tu bila matatizo.
42% ya watu hukojoa bafuni wanapokuwa wanaoga.
90% ya mawindo ya chui hufanywa na chui jike.
9% ya watu huruka breakfast
22% huruka chakula la mchana (hawali)
1% tu ya maji inapopotea MWILINI ndipo haswa unapoanza kusikia kiu.58% ya wanawake ndio hupaka rangi kucha.
80% ya matetemeko ya ardhi duniani hutokea maeneo ambayo yamepakana na bahari ya pacifiki

BADO NAENDELEA KUKUTIRIRISHIA NYINGINE.
SOURCE:TAFITI AMBAZO ZIMEFANYIKA ZIKAWEKWA MITANDAONI NA VYOMBO VINAVYOHESHIMIKA
 
17% tu ya members wote ndio watakoment huu Uzi......trust me
 
90% ya watu wa jf ni wapiga fix sana kuhusu maisha yao na u greyti sinka wao
 
Asilimia hizi mbona kubwa sana
Yaani nimo katika 5% ya wasioangukiwa na simu usoni
Halafu nilipoona kuangukiwa simu usoni nikafikiri inawahusu mechanics wakiwa chini ya gari (just kidding)
 
75%ya watanzania ni watu wasiojulikana lakini cha aja 25% ndio idadi kamili ya watu wanaojulikana..
 
75% ya wana JF ni wambea, wenye husda, majungu, wanajifanya wanajua kila kitu, mbaya zaidi 10% ndo wenye utu na upendo wa kweli hawo walio baki ni bendera fata upepo
 
Back
Top Bottom