Hivi hawa viongozi wa chadema mnawaelewa kweli wao kila siku ni kulalamika tu hakuna njia yeyote mbadala wanayoweza kuchukua kushughurikia matatizo yao.
Au kuna mtu mmoja upande ule ananufaika na...
Ndio maana mwenyezi Mungu ameruhusu kuoa mke zaidi ya1.
Kuna wanawake watafutaji na wavumilivu..ila si warembo sana...
BT kuna wanawake warembo wao ni wakutumia nao pesa..sura km mtoto mdogo...
Habari yenu wakuu;
Nilikuwa naomba nipatiwe ushauri na wakuu wangu pamoja na wazee wangu ni jambo gani au kitu gani nikifanye ili kuipatia nchi yangu ya Tanzania heshima na sifa kubwa!?...
Amani...
Nikiwa kati ya wanachuo wenye shida za hapa na pale hasa kushindwa kulipa ada ya chuo hadi leo.
Kuna baadhi ya wanajamii hapa waliomba taarifa zifuatazo ili waweze kunichangia ada hata10,000TZS...
Inawezekana Watanzania tumeshasahau kama binadamu tulivyoumbwa lakini imenibidi baada tu ya hivi punde kusoma story inayoelezea kijana aliyesababisha kujulikana kwa Osama Bin Laden huko Abbotab...
Kampuni ya bia za asili Dar brew maarufu kama Chibuku iliyo chini ya TBL na Jiji, imepunguza wafanyakazi 60 kutokana na mauzo ya bia hiyo kupungua.
Hali ya kibiashara kwa miaka miwili mfululizo...
Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na...
Japokuwa sina takwimu rasmi za jeshi la polis kikosi cha USALAMA wa barabarani kuhusu kiwango Cha matukio ya ajali za bodaboda lakini Hali Ni tofaut na miaka ya karibuni kwa kweli huku nilipo Mimi...
Mwimbaji wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT Chang’ombe (CVC), Mariam Charles (22) amekutwa amefariki katika nyumba ya wageni iliyopo Buza anakodaiwa alikuwa na mchumba wake (jina linahifadhiwa...
Nimejiuliza hili jambo kitambo kwa nini wanywaji wengi wa pombe wanakuwa na sura ngumu?
Basi juzi rafiki yangu mmoja akaniuliza kama nakunywa pombe,mi nikamwambia kwamba huwa nakunywa pombe tena...
Mkurugenzi wa Namaingo: Biubwa Ibrahim afunguka kimkakati...
Leo tarehe 15 ofisi za Namaingo Business Agency Ltd chini ya Mkurugenzi, Bi. Biubwa Ibrahimu, imefafanua jinsi kampuni inavyokwenda...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando amefunguka Mkazi wa Kijiji cha Mwai, Kata ya Mtenga wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, Said Matenga (50), kuuawa kwa kunyongwa kwa kamba na mpwa wake...
Mzuqa
Michael B Jordan aliyecheza kama katika Sinema iliyofanya vizuri sana sokoni mwaka Blank Panther atachukua nafas iliyoachwa wazi ya Superman Henry cavil ambaye ametofautiana na studio za...
Wadau kichwa cha habari chajieleza. Ninatumia king'amuzi cha star times kifurushi kimeisha muda wake. Sikuwa na hofu kuhusu hila maana nilijua nina channel tano za kutazama bure. Ni siku mbili...
Wakati wa zana za mawe binadamu hakumiliki mali, hakuwa na makazi maalum na wala hakuwa na familia. Tuliishi kama wanyama ingawa kwa maendeleo tulijenga vibanda vya kutustir na mvua. Wanaume...
Mkurugenzi wa Namaingo: Biubwa Ibrahim.
Leo tarehe 15 ofisi za Namaingu Business Agency Ltd chini ya Mkurugenzi, Bi. Biubwa Ibrahimu, imefafanua jinsi kampuni inavyokwenda kimkakati kutekeleza...
Habari wakubwa kwa wadogo.
Sio siri nimelazimika kuingia humu chapchap nikijua kunamtu katupia uzi wa mada tajwa hapo juu,lkn naona hakuna.
Juzi nilikuwa naangalia tbc habari. Wakati wa matangazo...
Leo tarehe 15/9/2018, kuna tamasha la urithi linazinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, lengo la tamasha ni kuenzi na kufumisha utamaduni wetu.
Mila na desturi ni kielelezo chetu sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.