mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,741
Habari ndugu wana jamvi.
Mimi ni muajiriwa wa serikali nimeanza kazi si muda mrefu nina miaka 24, nilikua nina ndoto za kujenga ili niwe na kwangu mapema...katika pitia pitia za mikopo ya bank nmekutana na hii JIJENGE LOAN (angalia attachment) ya crdb ambapo hnaeza kukopa kuanzia 20m+ kwa miaka 20... Mshahara wangu baada ya makato ni 800k hivi...nikipiga hesabu hata wakikata laki 3 kwa mwezi bado nakua na pesa nzuri tu ku survive..lakin pia kuna vihela vidogo vidogo nje ya salary... Je wana jamvi mnanishauri vipi hapo? Nikope ili nijenge au la?
Nawasilisha.