Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndoto nyingine bhana, sijui itakuwa ni kweli? Coz wanasemaga ndoto ni bayana.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
TUTATOKA TU - HEDARU SAME [emoji842]Wiki hii ilikuwa ni kutengeneza barabara umbali wa km. 3 kwa kumwaga moram na kuisambaza katika kitongoji cha Mbuyuni B kijiji cha Hedaru kata ya Hedaru...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijajua kwanini… Matajiri wengi sana wana wadudu, si wababa, na si wamama ! Ukiona tajiri anakushobokea, jiangalie sana… Kiukweli maatajiri wengi wana ' wadudu ' wa hatari sana… magonjwa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Though hatuwezi kuwa na jibu kulingana na experience but we can think about it kufwatana na uelewa, imani n.k, kama kichwa kinavyoeleza si kitu kigeni masikioni mwako au pengine umewahi kushuhudia...
2 Reactions
148 Replies
21K Views
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji. Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi. Ni kweli Wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Mkazi wa Bagamoyo ambaye jina halikutajwa amefariki baada ya kupigwa risasi akidaiwa kukaidi amri ya wanajeshi wakati akiingia kambi ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Bagamoyo, mkoani Pwani...
13 Reactions
377 Replies
39K Views
Habari Wadau, Tunaomba mwenye kujua kinachoendelea kuhusu ujenzi wa barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba (kipande cha Ardhi - Makongo Juu). Ni muda mrefu umepita, kumekua na sintofahamu, na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
NIMUONAVYO HUYU BWANA "WATAPATA TABU SANA" GILLES Muroto ndilo jina. Ni Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) Dodoma. Daraja lake kijeshi ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Kuna mambo...
3 Reactions
37 Replies
13K Views
Wakuu, mimi ni bachela, bachela haswa.. Sipend kulaga vyakula vya mtaani hata siku moja ila mara moja moja sana na ikitokea wapenzi wangu wakija huwa nawaambia wapike msosi mwingi ukae tu kwenye...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Jengo la ghorofa nne, lililojengwa ndani ya Road Reserve huko Nairobi, linabomolewa muda huu. Rais Kenyatta ameamua kutoichekea rushwa. Jengo hilo la mhindi Chandra Govin ambaye anasadikika kupata...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Tafadhali mods msiuunganishe huu uzi na ule wa kweny sticky kwa sababu ya sensitive mwaka jana 2016 Personal A/C monthly charges ilikuwa ni Tsh 1600 ATM charges- kudraw pesa via atm...
1 Reactions
33 Replies
16K Views
Hili ni swali tu na wala halina maana ya kukashfu dini ya mtu. Je ni sahihi kuruhusu au mtu kuvaa mavazi yenye mlengo wa kidini katika ofisi za umma? Hili jambo liliteta mjadala huko Ufaransa...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema Spacio 2002 and above Mintcondition,fullvibali Lowmilage Nomber c au d,D itapewa kipaumbele Dau m6 maongezi kidogo yapo Nicheki kwa picha WhatsApp 0656800446 nije na fundi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KISIMACHAMAARIFA September 7, 2018 WATAALAMU WA MASOMO YA SEKONDARI NEW: SEPTEMBA 2018 DEMTATUZI OPEN SCHOOL INAKULETEA PROGRAMU KABAMBE KWA WAHITIMU DARASA LA SABA 2018. YAANI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
" LOLIONDO" yarudi tena! Pengine hii inaweza kuwa stori nyingine ya kuvutia kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, baada ya mtu mwingine kujitokeza na kuanza kutoa huduma inayofanana na ya Babu wa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu si mwingine ni ripota wa ITV kutoka mkoa wa Mara George Marato, Inabidi serikali imwangalie mwandishi huyu kwa jicho la 3 amekuwa akibabikizia watu kesi zisizo na ushahidi kupelekea wahusika...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nauli ya bombardier na dreamliner kutoka Dar kwenda Mwanza Ni sawa ? Najaribu kuangalia website ya kufanya ticket bookings online ya atcl haijafafanua vizuri . Kwa wale muliosafiri naombeni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nguruwe Ndio Mnyama Pekee Mwenye Magonjwa Mengi Kuliko Mnyama Yeyote Yule Anaeliwa. Huwa Nashangaa Sana Hasa Walaji Wa Nyama Hii Ikiwa Waandaji Huwa Hawaichemshi Kwanza Kabla Ya Kuikaanga...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Wananchi(JWTZ) na Mkazi wa Mbezi ya Kimara amejinyonga kwa kujitundika shambani kwake Chanika! Ndugu wa Marehemu walisema kuwa marehemu aliamka siku ya Jumamosi...
18 Reactions
124 Replies
16K Views
Back
Top Bottom