Samsung Copy zimejaa mjini lakini Iphone Copy sijawahi kuiona

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni Samsung amekuwa akipata changamoto nyingi sana kutoka kwa mchina kutokana na sim zake nyingi kutolewa copy ambazo hazina ubora na kuingizwa sokoni kitu ambacho kimekuwa kikiwapa hasara na kupunguza uaminifu wa bidhaa zao.

Kwa miaka mingi kumekuwa na sim fake za Samsung madukani ambazo kama hautokuwa makini unaweza jikuta unauziwa sim fake ukajua no origional maana zinafanana sana

Lakini tukija katika brands za Iphone, sijawahi kutana na sim ya Iphone ambayo ni fake, wala sijawahi kusikia mtu akilalamika kuwa kauziwa Iphone copy, yaani fake iphone, nimejiuliza sana kuwa mchina kashindwa kucopy au anamuogopa mmarekani ? [emoji519][emoji519]
 
Ngoja wadau waje ila nimeckia ata izo iPhone copi zipo
 
Mods unganisha huu uzi
Cc Moderator
 
Mkuu cha kwanza kumbuka kuwa iphone ni kampuni kubwa ambayo inawalipa vizuri wafanyakazi wake kitu ambacho ni ngumu kwa software engineer wa Apple kutoa siri za kampuni au software kwa mchina na ndio maana bidhaa zake nyingi zimekuwa kisiki kweli kweli yaani utatengemeza umbo lakini kwenye software utakwama tu sababu ni siri
 
Siyo sababu, ila umejitahidi.
 
Kingine ni swala zima la mmarekani kushirikiana na mchina katika production ya aplle, ndio maana ukinunua brands yoyote ya aplle lazima nyuma utaona assembled in China ila vimeundwa marekani, hiyo nayo ni sababu ya mchina kulinda brand ya iphone sababu inamuingizia faida kubwa
 
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni Samsung amekuwa akipata changamoto nyingi sana kutoka kwa mchina kutokana na sim zake nyingi kutolewa copy ambazo hazina ubora na kuingizwa sokoni kitu ambacho kimekuwa kikiwapa hasara na kupunguza uaminifu wa bidhaa zao.

Kwa miaka mingi kumekuwa na sim fake za Samsung madukani ambazo kama hautokuwa makini unaweza jikuta unauziwa sim fake ukajua no origional maana zinafanana sana

Lakini tukija katika brands za Iphone, sijawahi kutana na sim ya Iphone ambayo ni fake, wala sijawahi kusikia mtu akilalamika kuwa kauziwa Iphone copy, yaani fake iphone, nimejiuliza sana kuwa mchina kashindwa kucopy au anamuogopa mmarekani ? [emoji519][emoji519]
Mkuu iphone copy ipo na zipo sana, nenda posta ukauziwe
 
Kingine ni swala zima la mmarekani kushirikiana na mchina katika production ya aplle, ndio maana ukinunua brands yoyote ya aplle lazima nyuma utaona assembled in China ila vimeundwa marekani, hiyo nayo ni sababu ya mchina kulinda brand ya iphone sababu inamuingizia faida kubwa
hapo kwenye red ulikuwa unataka kumaanishaje?
 
Back
Top Bottom