Salam nyote!
Tumekuwa na tabia ya kupeleka magari car wash hasa zilizo karibu na sehemu za starehe kisha kumwachia mtu gari na ufunguo akuoshee wakati wewe ukiendelea kupiga ulabu wako ( pengine...
Nimekuwa nikiangalia sana kingo za pembeni za barabara ya Tazara Flyover zinazojengwa nikilinganisha na barabara za juu za nchi nyingine hata ring road za Kenya tu hapo kwenye barabara ya Thika...
Nimeona tangazo lenu la mtu kununua smartfone ya laki tatu ya tecno alafu anashinda bodaboda kweli. Huko ni kutushushia hazi tunaotumia simu zenu.
Iwapo mtu anayenunua KARANGA za DIAMOND...
Baadhi yetu tunapata tabu katika hilo, katika mizunguko yetu tunakutana na matukio mengi ambao tunayarekodi live ambayo tunaweza ku share ili kuelimishana, kuonyana n. k. shida ni pale unapotaka...
Kuna baadhi ya matukio katika nyumba za kulala wageni yanafurahisha ingawa mengine ni kero kwa upande mwingine;
1. Kugongewa mlango na mhudumu kila mda.
2. kitanda kupiga kelele.. kwiichi...
Ilikuwa ni awamu ya nne kauli hii ilipotolewa na tajiri mmoja hapa nchini. Nani anakumbuka ni tajiri gani? Mbwa alikuwa Nani? Mwenye Mbwa alikuwa Nani?
Habari wana jamvi niko hapa kushare kitu kimoja na nyie wanajamvi kati ya nchi hizo mbili hapo juu km ntakua nimekosea mtanirekebisha ila naomba mnitajie kitu ambacho ni kimoja ila majina tofauti...
Habarini za leo enyi ndugu waafrika
Kumekua na tabia kadhaa kwa waafrika kuukana na kuubeza uafrika wetu kiutamaduni,kisiasa,kiuchumi na mambo mengi sana kiasi inatia aibu na kuchukiza kwa mtu...
Nisaidieni sheria ya.ufungaji wa baa hivi sheria ya ufungaji ni ya nchi nzima au inajitegemea kila halmashauri hapa jimboni kwa aliekuwa waziri wa habari,utamaduni sanaa na michezo watu hawalali...
Simba,Nyati,Faru,Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akili pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU.Well,amini usiamini,kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu...
Kama title inavyojieleza
Nauliza tu kesi ya huyu jamaa vipi?
Tangu alipopelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa kuwajeruhi watu wasiojulikana then kuachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena kisha kupewa...
Hatimaye agizo la Rais Magufuli la kutaka muwekezaji Mauza Nyakirang'anyi kurejesha Hotel ya Musoma limetekelezwa baada ya muwekezaji huyo kukabidhi hati ya hotel hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara...
Kote ulimwenguni gari la wagonjwa likiwa lina mgonjwa na limewasha king'ora halipaswi kusimamishwa na yeyote.
Na ikiwa litakutana na msafara was rais, je nani atampisha mwingine au litasubiri...
Kama kawa... wakuu leo nimeona niseme tu..
Kuna vitoto vya kike.. na sometimes wakiume wanapenda sana kuja ninapoishi na wanaingia hadi Chumbani kwangu..
kwa kuwa mie sio Mkali,na wala sina...
Polisi mkoani Mwanza wanaida kumkamata msichana Sonia Fanuel (20) mkazi wa Nyegezi jijini Mwanza akiwa na funguo bandia (master key) 154.
Polisi walibaini kuwa kati ya funguo hizo, 53 ni za...
Toka nizaliwe wakuu nyerere yupo hai na kuna chama kilikuwa kinaongoza Nchi hii mpaka hivi leo.
Sasa najiuliza tu kwamba ni kweli wananchi bado hawajaamka miaka yote tokea tanzania ianze ...
Dawa yenye picha hapa chini kama inavyojieleza ni dawa Magumashi kabisa, inavyoelekea imewekwa tu majani ya makavu ya kunde au majani ya maharage kisha kuwekwa kwenye karatasi ya rangi na kuuzwa...
Ni moja ya kisa ambacho nimekutana nacho wilaya ya Tarime ambacho alikifanya Mzee mmoja wakati akiwa Kijana na baada ya kufiwa na vijana wake 8 ameamua kutoboa siri
Huyu Mzee ana wake wawili ,mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.