Tamasha la urithi jijini Dodoma

Tamasha la urithi jijini Dodoma

luirhu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
800
Reaction score
413
Leo tarehe 15/9/2018, kuna tamasha la urithi linazinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, lengo la tamasha ni kuenzi na kufumisha utamaduni wetu.

Mila na desturi ni kielelezo chetu sisi watanzania.

Jambo lanalo nishangaza ni kuona nafasi ya lugha yetu ya Kiswahili kuto kuthaminiwa na watanzania wenyewe, bado Kiswahili hakitumiki ktk ofisi za serikali, bado tunatumia kiingereza ktk kuhifadhi kumbukumbu za ofisi mfano, mahakama n.k , tamasha hili liwe chachu ya mabadiliko ya kweli ktk kuenzi Na kuthamini utamaduni wetu.

Rais wetu ametuonyesha njia ktk kuenzi na kuthamini lugha ya Kiswahili lkn bado watendaji wachache wameathiriwa na ukoloni. Tubadilike
 
Lugha ya kiswahili ndio kielelezo cha Utamaduni wetu, bado tunasuasua kukitumia,
Waziri wa utamaduni anakazi ya ziada ya kufanya,
 
Dr Kigwangala ametoa ofa ya nyamachoma ya porini kwa wale wote wanaohudhuria tamasha la Urithi katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
TBC live!
 
Lazima atambike ile ilikuwa safari, this time aache kudhulumu mashamba na mifugo ya watu.
 
Back
Top Bottom