UMILIKI WA RASIMALI ZA NCHI KWA CHAMA TAWALA

Joined
Jul 22, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Hoja yangu viwanja vingi vinamilikiwa na ccm je?walivijenga wao au ni nguvu ya wananchi na kama wamejenga wao nchi fedha walipata wap tunahitaj maelezo kutoka kwa ccm na wazir wamichezo tunahitaj mali za wananchi wote sio chama
 
Hufahamu hii nchi ilikuwa chini ya chama kimoja kwa miongo kama mitatu (3) kabla ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1992?
 
Back
Top Bottom