Habari WanaUwajibikaji Jamii

Habari WanaUwajibikaji Jamii

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Habari Wana Uwajibikaji Jamii

Naitwa Lilian Kimola
Nimeandaa ibada ya kumsifu Mungu Tarehe 21/10/2018

Kwa Unyenyekevu kabisa Nakukaribisha uje Tumsifu Mungu pamoja wale walio Dar hata Walio Mkoani karibuni sana

Pia Naomba Waandishi na Wana Habari kwa upendo wanisaidie kunitangazia Taarifa hii kadri wanavyoweza maana Nahitaji watu.

Ki ukweli Mungu na Awabariki sana. Kama Utashiriki please Niambie Inbox Nikaangalie na seat nzuri [emoji8][emoji8][emoji8]

Penda sana Nyie [emoji120]🏾
 
Back
Top Bottom