07124356786579085326899643Huyu dada mzuri shombe shombe flani hivi wa kiarabu alikua anatangaza taarifa ya habari kwa lugha ya kingereza pale ITV aliendaga wapi? mwenye taarifa zake au hata namba zake anitumie tafadhali..
Huyu dada mzuri shombe shombe flani hivi wa kiarabu alikua anatangaza taarifa ya habari kwa lugha ya kingereza pale ITV aliendaga wapi? mwenye taarifa zake au hata namba zake anitumie tafadhali..
Yule wa azam ni Rehema SalimNnaemjua ni sabrina salim..alikuwa ITV, na kwa sasa yupo kituo kikubwa/AZAM TV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu yupo huku JF huwa anatumia ID ya Mama Sabrina!
Mkuu yumo humu JF huwa anatumia ID ya Mama Sabrina!
Yule wa azam ni Rehema Salim