M-PESA si sehem salama kutunza hela yako

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,791
Naanza an quote ya mdada anaitw a Grace

Duh! Jamani the struggle is real!! Sasa hivi muda si mrefu nimenusurika kutapeliwa kupitia Mpesa. It was like this; Nimepokea sms inayosomeka hivi M-PESA 5BB315ZBN6H Imethibitishwa. Umepokea Tsh190,000.00 kutoka 255759725848- AMINA MSANGI mnamo 13/4/18 saa 16:56PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh489,000.00 baada ya sekunde chache namba hiyohiyo ikapiga simu ananiambia ohhh mama samahani nimekutumia pesa kimakosa nilikuwa namtumia mke wangu anaumwa yuko Kigoma mimi niko Singida. Tafathali naomba unirudishie ohh nionee huruma mwenzio Mungu atakubariki. Sasa nikashtuka nikamwambia wapigie simu Vodacom watakusaidia, ngoja na mimi niwapigie simu. Alipokata simu nikaangalia salio langu lilikuwemo kwenye Mpesa yangu nikakuta ni lilelile lililokuwemo nothing has changed. So nikajaribu kumpigia simu tena ikawa haiconnect sijui wanazifanyaje wao ndo wanajua. Kwa hiyo moja kwa moja nikajua ni wezi. SO PLZ NDUGU ZANGU RAFIKI ZANGU KUWENI MAKINI HALI SIYO NZURI WEZI WANATUMIA MBINU MBALIMBALI, ANGALIA WASIJEWADAKA KWENYE HII.

M-PESA na Vodacom kwa jumla wamekuww wanaajiri watu wasiowaaminifu, wameibia watu sana mpaka wamenunua magari,

Namjua kijana mdogo tu wa kigamboni anaitwa Mlandali senior, amefanya Vodacom mwaka mmoja tu kaibuka na maendeleo ya kutisha kaacha na kazi kabisa, nilipochunguza nikagundua kuna makosa mengi ya watu kutokuwa na uelewa na kutapeliwa na watu ambao wanaijua fika mifumo ya Vodacom,

Pili swali langu wanaokufa wakiwa na akiba M-PESA, inaenda wapi??
 
Mara nyingi wanaofanya ivyo ni wale wale watumishi wa kwenye makampuni hayohayo,mtu ambaye hujawhi fanya kazi huko ni ngumu kujua
 
Hizi ni tuhuma nzito Sana naamini ukiitwa kortini utoe ushahidi,uta cooperate
 
Hilo swali ndo balaa,hivi kweli ukifa hela ya Mpesa ,Tigo Pesa ....inaenda wapi
 
Mimi nilinusirika kuibiwa 130,000/-
Nilikwenda kwenye Huduma ya m pesa nikatoa kiasi hicho ili aniwekee nimtumie mtu.

Yule mhudumu hakuniwekea na mimi sikuondoka,baada ya dk kama 10 nikamwambia sijapata ujumbe,akasema ondoka usiwe na shaka nimeshatuma,sikuondoka.
Baada ya dk kama 5,akapiga jamaa mmoja anasema anatoka Voda,akisema kuna 130,000/- imetumwa kimakosa kwenye akaunti yangu m pesa kwa hiyo nirudishe.

Nikajua nimeshakuwa dili tayari.
Nikaangalia Salio,hata hela yangu haijatumwa.
Nikamwambia mhudumu arudishe pesa niondoke,kuona vile akarusha nikaisoma.

Nikaondoka,kumpigia anayenidai akaomba nirudishe,nikamwambia sina hata shilingi Moja kwenye m pesa.
Hapo hapo akatuma sms ikisema'130,000/- mwamala ulioufanya haujakubaluwa'salio lako ni sh.0.
Nikajua nimeibiwa,nikapiga Voda,wakaniambia pesa yangu ipo ila hao ni matapeli walitaka kuniibia.
Hapo hapo nikaituma kwa MTU.

Tunajifunza mini:ukiwekewa pesa kupitia mtandao,pata ujumbe na uangalie Salio ndipo uondoke.kuna matapeli wanaotea karibu na ukweli wa pesa uliyo NATO tuwe makini ssna
 
Bongo mna shida sana waliofanikiwa ni huyo mdalari senior pekee kwa waliofanya kazi Vodacom ? Mpaka umuanzishie Uzi umemuesabia mpaka kipindi alichofanya kazi na kuacha duuh...Kutoka kimaisha Bongo ni kazi kuliko kuipita beki ya Bayern...
 
Ila kweli inabidi wajibu tuhuma mtu akifa ela ilnaenda wapi
 
Tuna watu wa ajabu sana
Yaani hakuna uaminifu kabisa miaka hii hata uwape mshahara wa sh ngapi bado wataiba tu
Wizi ni sifa kufa makazini na Rushwa ni janga lingine

Yaani wanachomwa moto maskini halafu haya majitu yanaachwa
Kila siku wanaleta mbinu na makampuni yanajua kinachoendelea badala ya kuweka tahadhari kila sehemu kama kwenye vocha na msg
Kama kweli wanajali wateja wao wangeangalia mali zao pia lakini naona wanauruhusu hii michezo
 
Ili fedha zako ziwe salama, hakikisha namba yako ya siri haijui mtu mwingine. Usiweke namba ya siri ukipigiwa na mtu "anayedai" ni Mhudumu kutoka Makao makuu. Mwisho kabisa, usimtumie pesa mtu usiyemjua hata kama kweli amekosea kukutumia. Mwambie awapigie Voda wamrudishie.
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Niongezee tu. Unapoenda kuweka pesa hakikisha sms imeingia kwny simu yako na umemuuliza limetokea jina gani na pia ikiwezekana angalio salio.
Kingine usipende kumtumia mtu hela moja kwa moja kutoka kwa wakala. Hakikisha unatuma kwenye simu yako kisha ww unamtumia mtu
 
Hilo swali ndo balaa,hivi kweli ukifa hela ya Mpesa ,Tigo Pesa ....inaenda wapi
Kuna siku niliwauliza tigo wakadai ndugu wa marehemu inabidi aende na cheti cha kifo na kitambulisho cha marehemu
Sasa nikawauliza kama ndugu hawajui kama natunza pesa huko inakuwaje?
wakasema ni vzr kuwambia ndg kuwa pesa unatunza tigo pesa
 
Trick ya kizamani kweli. Akikupigia mtu wewe mwelekeze aongee na vodacom customer service tu.
 
Mara nyingi wanaofanya ivyo ni wale wale watumishi wa kwenye makampuni hayohayo,mtu ambaye hujawhi fanya kazi huko ni ngumu kujua
Mkuu wafanya kazi wa makapuni mengi hufanya hvyo, kuna mama wa dada mmoja tinafanya kazi wote baada ya kustaf alikuwa anataka kutapeliwa na mfànya kazi wa mfuko wa hifadhi ya jamiii husika
 
Mimi nilinusirika kuibiwa 130,000/-
Nilikwenda kwenye Huduma ya m pesa nikatoa kiasi hicho ili aniwekee nimtumie mtu.

Yule mhudumu hakuniwekea na mimi sikuondoka,baada ya dk kama 10 nikamwambia sijapata ujumbe,akasema ondoka usiwe na shaka nimeshatuma,sikuondoka.
Baada ya dk kama 5,akapiga jamaa mmoja anasema anatoka Voda,akisema kuna 130,000/- imetumwa kimakosa kwenye akaunti yangu m pesa kwa hiyo nirudishe.

Nikajua nimeshakuwa dili tayari.
Nikaangalia Salio,hata hela yangu haijatumwa.
Nikamwambia mhudumu arudishe pesa niondoke,kuona vile akarusha nikaisoma.

Nikaondoka,kumpigia anayenidai akaomba nirudishe,nikamwambia sina hata shilingi Moja kwenye m pesa.
Hapo hapo akatuma sms ikisema'130,000/- mwamala ulioufanya haujakubaluwa'salio lako ni sh.0.
Nikajua nimeibiwa,nikapiga Voda,wakaniambia pesa yangu ipo ila hao ni matapeli walitaka kuniibia.
Hapo hapo nikaituma kwa MTU.

Tunajifunza mini:ukiwekewa pesa kupitia mtandao,pata ujumbe na uangalie Salio ndipo uondoke.kuna matapeli wanaotea karibu na ukweli wa pesa uliyo NATO tuwe makini ssna
Ahsante sana na pole pia
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom