IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ni watu wachache sana wanakuwa wa kwanza kwenye mambo mbali mbali mazuri
1. Wapo ambao tangu wazaliwe hadi Leo wameoa hawajawahi kutoa bikra..wengi tunakuta used
2.Wengi wetu humu jforum hatujawahi kuwa wa kwanza darasani....
3.VP hiyo gari unayoondesha ni mpya au used
4.je we ni kwanza kuzaliwa?
Hii ni mifano michache tu..wengine wanaumia kwann Mimi sikuwa wa kwanza? Tambua hiyo ni nafasi ya wachache....