Kwenu wasaidizi wa Rais Magufuli!!

Kwenu wasaidizi wa Rais Magufuli!!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Poleni na mahangaiko ya kutwa nzima!!

Nina mgojwa wangu pale JK Cardiac, kama ilivyokawaida jana majira ya jioni saa 10-12 ni mda wa kuona wagonjwa!!

Nilipofika pale,nikaona watu wenye mawani meuzi,wanazuia watu kuingia ndani,pia hata kusogea na lako kuu lakuingia ndani,nikasogea na mimi niweze kupata kujua kuna nini??

Jamaa mmoja akaniambia,samahani brother,kuna Mheshimiwa anakuja hapa,kwa hiyo,hakuna ruhusa yakuingia wala kusogea hapa!!

Ikabidi nisogee nyuma kidogo kwenye canteen ya hapo hospital,mda si mrefu nikaona magari VX V8,kama matano hivi,yenye number za kawaida na Benz moja,ikasimama karibu na lako kuu,nikamwona Magufuli akashuka na kuingia ndani!!

Mh Magufuli ni haki yako kabisa kusalimia ndg na jamaa zako waliolazwa hapo,lakini usumbufu tunaopata sisi ni mkubwa sana!!

Nimefika pale saa 9:50,sikuweza kumwona mgonjwa wangu,wewe na wasaidizi wako mmekuja saa 11:00 umekaa ndani hadi 11:30,ndo tukaanza ruhusiwa kuingia ndani,kumbuka huo mda pia ni kidogo,tunaingia kwa majina,watu wawili tu ndo wanaruhusiwa kuingia ndani!!

Wewe ni mtu mkubwa,unaweza kwenda wakati wowote,kwa nini usiwe unaenda mida ambayo haina msongamano wa watu??? Kumbuka wengine,baada yakukuona walibaki wanashangaa magari,nakushindwa kuona wagonjwa wao!!

Mh na sisi tunapenda sana kusalimia ndugu zetu,naomba uwe unaenda mda wakawaida!!! Asanteni sana!!!
 
Unawaandikia wasaidizi wake au yeye mwenyewe?
 
Tatizo akienda muda tofauti hamtamuona! Kwa kweli hawa watu ni wasumbufu mno, sasa fikiria yeye kwenda pale ni kwa sifa, lakini wewe kwenda pale ni kwa kuhitajiwa na ndugu yako!
 
Back
Top Bottom