Tabia ya baadhi ya wadada wa benki

Tabia ya baadhi ya wadada wa benki

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,696
Hii ni comment ya mtu akichangia kwenye mjadala unao husu wafanyakazi wa benki moja kutoa siri za mteja wao. Naiweka kama jinsi ilivyo .

" Mm mlioko bongo mna kazi. Sasa hao wadada wanaotoa information za wenzao mbona wanatia aibu. Kumbe eti uwa wakiona wakaka au wababa wameweka pesa mle wanachukua namba zao za simu then wanaanza kuwapigia kuwataka kimapenzi ili wawachune. Hawajali wake zao wala watoto. SHAME ON YOU sisters. Hasa huyo aliejipendekeza na kurisk kuharibu kazi yake sijui kwa sababu gani hasa. Na bank ndo ishaaribiwa jina maskini, we nani ata risk tena kwenda kuweka pesa umo!!! "
 
ni bank gani wana hiyo tabia?
itaje unaogopa nini
 
hivi pale kaunta bank teller anaweza kuchungulia kwenye kompyuta yake na kujua mteja ana shilingi ngapi kwenye akaunti yake?
 
Jamani msishangae sana kwani tupo cku za mwisho ILA tujipange tu kujibu mbele za mwenyezi MUNGU.
 
Hiyo tabia hawajaanza leo. Kawaida sana kwa wadada wa kibongo especially Barclays Bank, Stanbic Bank na Standard Chartered Bank. Kama kuna mtu ataebisha mi ushahidi nnao.
 
Haya ndiyo matatizo ya kuwajaza wanawake ktk shughuli muhimu kama hizi, Nitanaza campaign za kuwashawishi benki ziajiri wanaume sehemu za tller

Hawa kina mama wana risk biashara za benki pia kuhatarisha maisha ya mteja dhidi ya tindi kali

Kunahaja ya kuanzisha chama cha wanaume kutetea haki zao vyinginevyo mambo ya ki-Bitch bitch yatazidi kushamiri
 
tiGO Bank inanifaaaa.. huko mi simo nishatoka kitaaaaaambo... mnaikimbua Meridian Bank iliyodhulumu watu cash zao pale Kichwele? Mimi ni mhanga wa ile ishu.. Bank na mimi ni sawa na kinipa Kadi ya UVCCM

. Nakutimua
 
Hii ni comment ya mtu akichangia kwenye mjadala unao husu wafanyakazi wa benki moja kutoa siri za mteja wao. Naiweka kama jinsi ilivyo .

" Mm mlioko bongo mna kazi. Sasa hao wadada wanaotoa information za wenzao mbona wanatia aibu. Kumbe eti uwa wakiona wakaka au wababa wameweka pesa mle wanachukua namba zao za simu then wanaanza kuwapigia kuwataka kimapenzi ili wawachune. Hawajali wake zao wala watoto. SHAME ON YOU sisters. Hasa huyo aliejipendekeza na kurisk kuharibu kazi yake sijui kwa sababu gani hasa. Na bank ndo ishaaribiwa jina maskini, we nani ata risk tena kwenda kuweka pesa umo!!! "
LIKUD as much as what you say here is true to the core, it is advised you gather your info pretty much better wth vivid examples to convince the audience. Otherwise its more or less like a rumor

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Haya ndiyo matatizo ya kuwajaza wanawake ktk shughuli muhimu kama hizi, Nitanaza campaign za kuwashawishi benki ziajiri wanaume sehemu za tller

Hawa kina mama wana risk biashara za benki pia kuhatarisha maisha ya mteja dhidi ya tindi kali

Kunahaja ya kuanzisha chama cha wanaume kutetea haki zao vyinginevyo mambo ya ki-Bitch bitch yatazidi kushamiri

Si bure,una lako jambo.
 
hivi pale kaunta bank teller anaweza kuchungulia kwenye kompyuta yake na kujua mteja ana shilingi ngapi kwenye akaunti yake?

Kwanini asijue . Wakati ukimuomba ujue salio katika acount yako anaangalia kwenye computer na anakupa.
 
jameni hivi hizi siri za wateja zinazotolewa ni zipi? isije ikawa mtu kakopa kashindwa kulipa deni linamwelemea anaanza kujihami. hivi nyie tanzania hii hamuwajui mpaka leo watu wenye pesa? hao wanaosema wameanika siri zao wana za kubadilisha futari tu kutoka kwene mihogo mpaka magimbi. sikatai hii tabia ipo sana hasa kwa wale wadada wa vibandani ( tellers) msione wamependeza vile kwene vibanda maisha yao ni magumu kama wewe ambae uko kariakoo unauza mchicha tu. wanakuwa na hasara nyingi jinsi ya kuzi cover lazima wawatempt nyie ambao mnajirahis wenyewe pindi mnaisogerea counter. then na vijihela vyako kidogo ukimpeleka akemi mara moja tu ushaishiwa matokeo yake unakuja kuleta malalamiko hapa kipindi hicho ye ana transaction nyingine za million huko. msiwapende hawa dadas wa vibandani ni hatar kwa maisha yenu
 
inasemekana tellers wanapata mishahara ya kawaida.
 
mkuu watu walioko nje ya bank wanafikiri wafanyakaz wa bank wanalipwa mishahara mikubwa sana kumbe ni hapana mishahara ni ileile tena ya kawaida sana hata nikikwambia hapa huwezi amini.
 
Tatizo la wadada wengi wa benki wako pale kiumbea zaidi na kujigonga kwa wateja wenye pesa.
 
Back
Top Bottom