Elimubomba
Senior Member
- Jul 27, 2017
- 111
- 47
Maana zoezi la uandikishaji lilifanyika tangu May 2018, na bado hatujui lini tutapatiwa, imekuwa ni kikwazo kwangu maana sina kadi ya mpiga kura, passport wala leseni ya udereva na hiki cha Uraia bado naona kizungumkuti.
Mwenye kujua process za kukipata anijuze
Mwenye kujua process za kukipata anijuze