Faida za mboga za majani

Mbingo

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
411
230
Wadau wana jamvi naombeni taarifa sahihi eeti mbogaza majani zinasaidia nini ukimpatia kuku
 
inawapatia virutubisho vitakavyowawezesha kukua vizuri na kinga kwa baadhi ya magonjwa, maana zile mboga zina vitamins na madini mbali mbali muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom