Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Habari

Watu wengi inasemekana wana matatizo mengi lakini hawatafuti utatuzi baadae inakuja kuwa shida kubwa
Matatizo ya ugonjwa wa akili sio lazima kuona mutu anatembea na makopo na kuongea kwa sauti mwenywe kupiga na kukimbiza watu ni kichaa unaweza kuwa unavaa suti na kufanya kazi pale bandarini au TRA kumbe wewe unayo matatizo ya akili tena makubwa

Fuatana nami japo ni kwa muhatasari
Matatizo ya akili yanasababishwa na maisha pia tunayoishi
Matatizo haya yamegawanyika katika sehemu tatu
1-Kihisia
2-Kimwili
3-Kiakili

1-Kihisia
Ukiwa na tatizo la kisaikologia dalili zake katika hisia ni
Kuwa na mawazo sana lakini kutojua hasa wawaza nini
Kuwa na huzuni mda mwingi wewe ni kuwa nasura kunyamano
Kuwa na furaha iliozidi kiwango mda wote kuwa unafuraha ilipitiliza usifurai juu ya hilo hayo ni matatizo makubwa sana tafuta tiba

Kuwa mpenda mtu wa kipekee mda wote unakaa mwenyewe na hata ukikaa na watu wewe ni ububu

2-Kimwili
Kukosa usingizi
Kulala sanaa unalala saa tatu usiku unaamka saa nne usingizi wa fo-fo-fo ndio nauzungumzia

Kukosa hamu ya kulala
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Uchovu mda wote
Kupatwa na ganzi
Kuanza kufanya mambo ambayo hapo awali hukuwai kufanya
Kukosa kumbukumbu unapoteza laptop unatafuta kwenye mfuko wa shati

Kiakili

IQ yako kushuka
Kusahau sahau mambo
Kuchangia mawazo yasiyofaa au kufanya mambo kinyume na utaratibu

Kutokuwa na utulivu wakati wa kufanya jambo mf unapika mara unaacha kupika unaenda kufua unaacha kufua hapo hapo unaenda kulima akili inakuwa haijabase jambo moja

Kukosa kujiamini hapa wengi wanahusika unakosa kujiamini hujaiba walala uhalifu wowote but hofu inakuandama na woga mwingi mbaya sana hii

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo 99% inaminika ni dalili Za magonjwa akili
Unashauriwa ukiona dalili hizi fika chap kwa wataalamu upate tiba
Nashukuru

Pia
 
Habari
Nb-- (naomba Uzi usihamishwe jukwaa)

La mwisho kabisa.kama unapiga punyeto wewe Ni kichaa hilo halina ubishi kabisa
 
Unapotosha,

Ukichaa ni ugonjwa ambao upo ndani ya magonjwa ya akili,

Hivyo basi si kila mtu ni kichaa,
Hiyo ya kuokota makopo ni ugonjwa wa akili unaojitegemea ktk magonjwa ya akili,

Hiyo ya kukosa raha au mawazo sio ukichaa hiyo ni mood disorders ambayo ipo kwenye magonjwa ya akili,

Ukichaa ni psychosis na si kama unavyoudanganya umma,

Nenda kasome kibao chochote ktk hospitali za afya ya akili uone kama utalikuta hilo neno
 
Sasa ndio naelewa ile tafiti iliyosema Tz kuna vichaa wengi, kwenye kila watu 4 mmoja ni kichaa.
 
tutembea kifua mbele watanzania,tupo kwenye right track.
kwa hiyo wenye hizo dalili msihofu kiongozi wetu huyo keshasema
 
Basi me nna matatizo ya akili sana!..
• Huwa nikipanda lift pale Ushirika Tower nawaza izimike nitokee kwa juu yake.
• Huwa nikipanda kivuko nawaza kikizimika itakuaje!?.
• Nikiwa napita pale Central Posta nawaza niwapigie mahoni mengimengi trafiki mpaka watoke wote kituoni.
• Nikiwa foleni Azziz Ali nawaza nifike round about kichaa akatize nishuke mpiga makofi!.
PS:
• Hili daraja jipya najua nikija pita nitawaza itakuaje nikikatupa kamkebe kangu katafika zile jengo za pembeni au vipi!.

Nashangaa haya mwazo nayapata nikiwa Transit tu!.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mleta mada umekimbia uzi wako
 
Back
Top Bottom